Sperm donor needed

Anne Maria mie ningechangia, lakini hizo sifa kwenye bold sina..................LOL

Duh, hii maneno akiona mama Ngina kitanuka home..................!

hahahahahah Mkuu nadhani unazo hizo sifa bana esp kwenye usomi pale lol ila huyu mama Ngina ndo analeta kauzibe khaa,, fanya ki private private basi!!!
 
Anne Maria mm vigezo ninavyo ila naamini ukija nisaidia PULL nitajaza angalau kijiko cha chakula, na mzigo huo ni bure utaondoka nao bila masharti tuwasiliane namna ya kuja chukua mzigo wa shost wako, sifa ingine huwa nafyatua vi-Queen zaidi

hahahahahah UKWAJU mashalaaa tuwasiliane basi.....
 
kama mungu alisema nendeni duniani mkazaliane kwa namna hi! haya.....! kazi tunayo mbele yake
 
Mi nitakupa Sperm bure,
But niletee mtu basi tusaidiane kuzitoa maana puli siwezi!!

Yaani ondoa shaka ntakuletea vimwana wa kukusaidia,, we utayari tuu unahitajika yaani saawa eehh mzee shark.......
 
Hakuna mwanaume ana shida kubwa kiasi hicho kutoa sperm zake kwa staili hiyo. Ni kwamba wanaume wenye sifa zilizotajwa ni wastaarabu sana na hakuna atakayetaka ku donate kwani hana cha kupoteza hata asipotoa.
Sijakataa MVUMBUZI.... na ndo maana ni choice si lazima,, kuna good hearted pipo who are willing to help others they can assist my friend in this
 
When you present a thing like that you must be of a postive opinion towards it,

The thing is i couldnt present the reason to the public of why this lady needs to have a sperm donor... but its totally reasonable as pertaining to her situation...she isnt doing it for the sake of doing it for fun but she has a medical reason justifying the need for a sperm donor
 
Mana zipo hapa ila kutia kwenye kichupa no,njoo tu uzifuate live,halafu angalia madhara ya vitoto vya kwenye kichupa hapo kwenye avatar yako huyo mtoto akikua sijui kama atakubali kwamba wewe ni mama yake

sasa una donate vipi bila kuwekwa kwa kichupa?? huyu mdada yupo hospitali hawezi toka azijie wewe...
NB mwanangu ni Albino sio halfcast na baba yake ni huyo jamaa kwa nyuma hapo ni masuala ya genes tuu hayo
 
Kamchezo kwa nn kasihusike jamani mweeeeeeeeeeee????

Me naweza pia na vigezo zaidi ya hvy ni pm basi!!!!
 
Kamchezo kwa nn kasihusike jamani mweeeeeeeeeeee????

Me naweza pia na vigezo zaidi ya hvy ni pm basi!!!!

Cement ntaku pm basi!!!! kamchezo hakaruhusiwi mdada mwenyewe yupo hospital as we speak
 
...Hutaki sasa? lol! shurti zitiwe kwenye kichupa kwanza akazipime kama ziko salama :) halafu anajimiminia mwenyewe akiwa faragha na kuweka miguu juu kwa masaa mawili halafu kusubiri kama mambo yamejipa lol!

lol jmani not really kwakweli.. hahahhaha ingawa hii procedure imenifurahisha lol,,, yupo hosp huyo mdada na anatatizo linalopelekea ahitaji msaada wa sperm donation
 
  • Thanks
Reactions: BAK
wewe kubali kale kautamaduni cha wazee wetu au wamasai.acha mama agawe ka-mchezo kwa siku moja halafu u-enjoy for the rest of your life na huyo mtoto.
Mimi niko tayari kwa sharti moja tu,lazima nipewe mzigo kamwe sitaki kudonate hewani au kwenye kibobo.

hahahaha we meningitis wewe lol!!!! mwenzio anahitaji za kiboboni jamani si utoe tu ushirikiano...
 
No donation bila kamchezo hapa??

Am ready ila bila makutano ya mwili duh........napata maumivu ya kichwa

maumivu ya nini sasa hapo kwani we kamchezo hujawahi kujifanyia kweli mmhh?? hahahhaha
 
Back
Top Bottom