Speed ya moderm ya airtel sijawahi kuiona

ni umasikini tu ndugu zangu ndio unaofanya mkose spidi nakumbuka nimeweka bundle ya 2500 kwa mb400 average speed ni 20-30 kb/s ila kuna one guy aliweka bundle volume based ya 12000 ya mb500 average speed mchana 300-400kb/s na ucku ni 400-600 kb/s kama ina re-cache huwa inafika 800 kb/s kama kwenye picha mliyoiona ila hutokea kwa mda mfup
 
Sema kwa upande wa kifurushi mi nashindwa kuelewa kwani mi hununua kile cha mb 400 kwa sh 2500 na bado sijalimitiwa speed, may be other factors, may be ''Ni ndoto kwako kupata speed nzuri kama unatumia signal za EDGE
Ni ndito kwako kupata speed ya zaidi ya 500KBps kama unatumia modem yenye uwezo wa chini ya 3MBP''
​and other machine related settings

sidhani kama umemuelewa paulss na mashaka juu ya hilo..
 
Ni model gani hiyo modem?

Model ka maana gani mkuu? hii ni ya Airtel ila model sijui kwa kweli...kuna mtu hapa ananiambia ni zile mpya yaani tooo slow extremely slow....kwa kawaida huwa naingia ile bundle ya elf 2500 napata mb 400...nisaidie mkuu
 
Habari jf
Nichukuwe fursa hii kukiri kuwa tangu nimeanza kutumia internet, sijawahi kukutana na internet ya speed kubwa kama hii ya airtel ya sasa, sijawahi. File la ukubwa wa mb 87 ndani ya dk 2 limeshushwa!!!, mnasemaje nyie wanajamvi?.

Umepewa shilingi ngapi na airtel ili kupromoti modem yao?

kwenye setting au Option wekeni WCDMA prefered kwa Mobile Partner au HSDPA kwa ZTE muone mambo yanavyoshuka lainiiiiiiii

mbona mi modem yangu ya airtel hiyo option ya kuselect network type ipo locked yaani ipo faint kabisa na hapa speed yake ni 0.8kbps yaani very boring but in short hawa jamaa internet yao inachagua maeneo,ukiwa baadhi ya maeneo ( katikati ya mji) hadi raha ila baadhi ndio hivyo full maumivu.
 
Disconnect kwanza ndo itakuwa active, huwezi kuchange wakati iko connected, ondoa kwenye Automatic weka WCDMA prefered au WCDMA only au HSDPA
 
mbona mi modem yangu ya airtel hiyo option ya kuselect network type ipo locked yaani ipo faint kabisa na hapa speed yake ni 0.8kbps yaani very boring but in short hawa jamaa internet yao inachagua maeneo,ukiwa baadhi ya maeneo ( katikati ya mji) hadi raha ila baadhi ndio hivyo full maumivu.
Kazi ni kwako, ila bila ubishi siku hizi wanatuibia bundle zetu huu ndio ukweli.

airtel WCDMA.jpg
 
Fastest networks kwa sasa are 4G WIMAX and 4G LTE. Download speeds 20 to 30 MBPS average(peak 90MBPS) Sijui hizi zinapatikana Dar? Safaricom are upgrading to 4G LTE soon once they sought 800 MHZ frequency issues with the communication commission of Kenya.
 
I ve been told Smile communications Tanzania recently launched 4G LTE in Dar. Can anybody confirm this?
 
This is business baanaa! kampun haiwezikufanya biashara ya dini, sikuzote wanataka kunyang'anya chochote wanacho weza kupata kutoka kwa watumiaji. Kiukweli speed ya internet hutegema vitu kadhaa, kwanza location, kama unaishi kwenye miti mingi au mabonden ni ukweli usio pingika RCP level itakua mbaya na hata speed itakua si yakuridhisha sana.

Pia kama kama unaishi eneo lenye mnara moja uliokaribu na watumiaji wengi pia speed lazima ipungue kwakua bandwidth hua haiongezeki kwenye mnara kadri watumiaji wanapo ongezeka katika eneo hilo, pia jinsi ya uungaji hivyo vifurushi, usitegemee upate speed nzuri wakati umeweka unlimited ya mwezi, kwahali yakawaida kampuni ingekua imeshafirisika kama ingeruhusu hiyo speed, wanaruhusu vifurushi vidogo ili uweke mara kwa mara ufaidishe kampun.

Alafu sio mahala wanafunga mitambo ya 3G ni gharama sana na hasa kama gharama zao hazita rudi mapema katika eneo hilo. Me hua natumia kifurushi cha siku cha airtel kwaajili kubrowse tu, speed yake ni kichekesho sana lakini ndio biashara lipia kadiri utumiavyo, lakini ni fair kidogo tofauti na zamani tulipokua tunapanga mistari kwenye cafe!
 
DON'T LAUGH AT ME!!!

MI NATUMIA ZANTEL.
LAKINI SPEED NINAYOIPATA NI AIBU TENA NIPO KAMA 70 METRES KUTOKA KWENYE MNARA IN A LESS POPULATED AREA.

Hii::::::::::: 7.0kbps - 8.4kbps:israel:. Nilipoanza Kutumia IDM, ndio afadhali nikanza kupata hiyo 7kps - 32 kps :second: tena haiko stable. Inapanda -------->>>>> :loco:Inashuka________>>>>>>>>:A S cry:
 
kwenye setting au Option wekeni WCDMA prefered kwa Mobile Partner au HSDPA kwa ZTE muone mambo yanavyoshuka lainiiiiiiii

inategemea kama uko kwenye coverage ya 3g au 2g watu hawafuatilii ,3g ipo maeneo ya mijini, wanaolalamika kuwa speed ndogo mara nyingi wanakuwa kwenye 2g
 
DON'T LAUGH AT ME!!!

MI NATUMIA ZANTEL.
LAKINI SPEED NINAYOIPATA NI AIBU TENA NIPO KAMA 70 METRES KUTOKA KWENYE MNARA IN A LESS POPULATED AREA.

Hii::::::::::: 7.0kbps - 8.4kbps:israel:. Nilipoanza Kutumia IDM, ndio afadhali nikanza kupata hiyo 7kps - 32 kps :second: tena haiko stable. Inapanda -------->>>>> :loco:Inashuka________>>>>>>>>:A S cry:
Upo wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom