Speed ya Internet ya tiGO inatisha

Tigo raha kwa kweli,Lakini sasatel nao raha lakini ununue bandle ya 7500 kwa wiki zote natumia na ni safi,sema inategemea na eneo pia
mkuu hiyo ya 7500 kwa week plus ndio ninayotumia lakini kamwe siwezi kufikia hito speed ya uncle rukus,
nipo tabata mawenzi pengine ndio sababu
 
hello brother mbona mie nalipia ile package ya 45 elfu kwa mwezi, lakini maximum speed ni 80kb per second . hata msn camera chat inakwama. nipo maeneo ya vingunguti. au walioniuzia modem ya tigo wamenipa line sio. i mean hai support speed kubwa?
chini kulia hapa kwenye icon speed inaonekana ni 3.6Mbps. lakini lakini kwenye application ya tigo ni ndogo tu.
hebu nipe maujanja nifike hukoo kwenye spidi yako....
 
Location, location, location.
 
Uncle Rukus you are working with TiGo in Marketing, if not, they had better hire you.

Just bought TiGo Standard Month package after reading your post, never downloaded above 175kbps. Where did you get the speed you mentioned? or you must be the odd lucky one, it took me more than 4 hours to download an update of my bb.
 
  • Thanks
Reactions: mja

Mkuu, unapata Unapata EDGE au HSPDA? Kama ni HSPDA lazima upate speed kubwa mkuu ambayo angalau inafikia 2.mbps....
Na kama unapata EDGE sahau kusuhu speed yako itakuwa inacheza kwenye 250/300kbps.
 
Mmmh! hii topic imeniweka kwenye wakati mgumu sana, nimejaribu kuwaaminisha watu kuwa mimi siyo mfanyakazi wa tigo na bado naona hamnielewi, nimejibu kwenye post zangu za awali kuwa mimi siyo mfanyakazi wa tigo na wala sinufaiki na chochote na mtandao huu zaidi ja kuwa ni mteja wao tu....

Kabla ya kulalamika ni lazima ujue vitu viwili kwenye haya mambo ya data, lazima uwe sehemu ambayo unaipata 3g/HSPDA ambapo kama unapata coverage hii ni lazima speed yako iwe ya kasi... Ndugu nikuulize je hiyo BB yako ina 3G? kama haina basi kamwe uwezi fikia speed nayoipata mimi kwenye modem yangu....

Naomba unijulishe umejiunga na standard month ya tsh ngapi? maana ziko nyingi hadi ya elfu 900 ambazo ni maalumu kwa matumizi ya simu na nadhani kasi yake ni ndogo.....
 
Uncle unaenjoy speed hiyo kwasbb kwenye eneo lako watumiaji mko wachache.......ninachoelewa mm ni kuwa hiyo bandwidth ni shared, kwa maana watumiaji wakiwa 100 at a time na wengine wakawa 500 (other factrors remain constant) wale walioko 500 wataexperience slow speed.

Japo inawezekana kuwa set up ya network (no. of E1s) kwa site moja ni kubwa kulinganisha na netwok nyingine ndio maana unapata dowload speed kubwa..........ila all in all speed itaendelea kupungua kadri wateja wanavyoongezeka, but for now keep enjoying
 
HSDPA naipata tena nna bar 5 most of the time. Sikuiunganisha hiyo modem kwenye bb yangu, ipo independent (modem) haina uhusiano na bb, nilidownload tu upadate ya software ya BB na si kwa kupitia BB hata ingekuwa hivyo BB ni 3G. Package yangu ni Standard Month ya 45,000/=.
 
Mkuu, mimi shughuli zangu nafanyia hapa town, posta,KKOO,kurasini na masaki, na home ni Tegeta, na kote huko napata 3g, home huwa ni EDGE ila uilazimisha kuvuta mawimbi ya HSPDA kwa kuselect setting zake, na uwa inapatikana kwa bar 1 ambayo haijatulia na bado speed napata the same na napokuwa mitaa ya town ambako kuna watu wengi wanaotumia huduma hii!

Swala la kupungua speed kutokana na wateja kuongezeka hilo nakubaliana na wewe maana hata Airtel sasa hivi wamechoka ile mbaya heri ya voda...
 
HSDPA naipata tena nna bar 5 most of the time. Sikuiunganisha hiyo modem kwenye bb yangu, ipo independent (modem) haina uhusiano na bb, nilidownload tu upadate ya software ya BB na si kwa kupitia BB hata ingekuwa hivyo BB ni 3G. Package yangu ni Standard Month ya 45,000/=.

Kwa kweli hapa ndipo naposhindwa kuelewa nini kinachoendela, kwa nini wengine wapate speed kubwa na wengine ndogo, huwezi amini mimi naishi Tegeta na 3g haipatikani vizuri mara nyingi inakuwa EDGE ila uwa nabadili setting na kuset za WCDMA amba uvuta mawimbi ya 3g na kupata ka-bar kamoja ka 3G speed inakuwa kama navyo kuwa sehemu yingine....

Itanibidi nifanye uchunguzi nione hii inakuwaje kwa nini inakuwa hivi, then nitakuja na jibu zuri kwako...
 
Mimi ningekuwa na uwezo ningewashitaki Tigo kwa TCRA,kwani huu ni wizi wa mchana kweupe speed yao iko chini sana na inakatika mara kwa mara mpaka imekuwa kero,imenibidi nile matapishi yangu kwa kurudi tena Zantel,na modem ya Tigo kwa hasira nimeichakachua natumia mitandao mingine SIM card yao nimeitupa chooni kwani haina faida kwangu,TZ tunaibiwa sana na haya makampuni ya simu kwani huduma zao sio value for money,fikiria mtu umeweka bundle yako na untakaufanye kazi zako,halafu unapojaribu kupata net kunakuwa sifuri na muda ukifika pamoja na kutotumia kwa kuwa net yao ipo chini hela yako inakuwa imekwenda na maji,sijui TCRA kazi yao ni ipi au ni kuchukua tu ada na malipo ya usajiri,nulikuwa Kenya huko mambo ni mswano kwanza speed ya kufa mtu kwa kila mtandao na bei ya kusurf ipo chini kulinganisha nasisi,tuliambiwa mkongo ukiwa tayari tutapata huduma yenye uwezo mkubwa na kwa bei nafuu,lakini wapi hivi jamani hawa regulator wetu wanafanya nini na kila siku wako nje kujifunza sijui wanajifunza nini au ndio kula tu hela zetu
 
Mkuu, mimi shughuli zangu nafanyia hapa town, posta,KKOO,kurasini na masaki, na home ni Tegeta, na kote huko napata 3g, home huwa ni EDGE ila uilazimisha kuvuta mawimbi ya HSPDA kwa kuselect setting zake, na uwa inapatikana kwa bar 1 ambayo haijatulia na bado speed napata the same na napokuwa mitaa ya town ambako kuna watu wengi wanaotumia huduma hii! ...

sasa kaka mie nimejiunga na package ya 45 elfu. nipo vingunguti karibu sana na mnara full HSPDA, FULL 3G LAKINI ANGALIA HII SCREEN SHOT YANGU.
au inawezekana wamenichakachua kwenye line. maana nasikia tu laini nyengine hazina speed, jee ni kweli?
lakini zaidi naomba uangalie kwenye picha yangu, hapa jee hizi settings ndio zipo kama zinavyotakiwa i mean je zipo kama zako?
au please tutumie settings zako na sisi tuzitest
 
Attachments

  • tigo inert.bmp
    1.2 MB · Views: 43
let us all conclude that uncle is one of the most lucky guy ever.......
with 2 to 3 bar of the HSDPA here in vingunguti i have never reach 70Kb/s dont mention 100Kb/s.
tigo final.jpg
 
  • Thanks
Reactions: mja
kwa hasira tu. nimechukua sim card ya tigo ya kawaida nikaichomeka kwenye modem. nikaingia youtube. mwanangu inakuja full speed above 2Mbps. na kupanda hadi kufikia spidi ya 3mbps. niliporudisha ile line iliyokuwa registred kwenye modem yenye internet package ya 45000Tsh. kwa mwezi . ngoma imerudi pale pale. kati ya 500kbps na 500kpbs. wakati network kwenye dash board ya tigo inaonesha meno full. Hspda.
hapa sasa napata conclusion kuwa bwana Uncle una bahati. acount yako weye bwana sio ya 45 kama zetu. yako weye ni ya laki 2 unusu. umebahatika kwa kupata lain tofauti na zetu.
spidi ya internet ya tigo haitishiiii.................:biggrin1:
chini hapa nakuwekea attachment kwa ushahidi zaidi conclusion.jpg
 
hehehe angekula kimya kimya!
kaka mie naweza kukubaliana na wewe, rukus ana furaha sana labda mnaweza kunisaidia, mimi nipo hapa segerea tu, lakini nikiweka tigo, God forbid, speed ni kinyonga hata website simple tu haziji kwa haraka, nikija town wao, napata speed nzuri, je tigo inakuwa na speed tofauti katika minara iliyo baadhi ya sehemu, hasa nje ya mji labda huko rukus anapoisha minara ni ya HSDPA ...
 
Mkuu, unapata Unapata EDGE au HSPDA? Kama ni HSPDA lazima upate speed kubwa mkuu ambayo angalau inafikia 2.mbps....
Na kama unapata EDGE sahau kusuhu speed yako itakuwa inacheza kwenye 250/300kbps.

mimi huwa kipata HSPDA tu basi bar ya signal inakuwa ziro, ukichomoa modem ukarusidha inatafuta unapa EDGE kisha speed, kama dialup!!!!!
 
Uncle Rukus,hyo 3G ya tigo inapatikana dar peke yake?mbona niko Mwanza city centre siipati,mwenye kujua coverage areas aniambie ili nisisumbuke kupoteza hela za bure!

Mitandao mingi hapa TZ 3G huwa inapatika mijini, lazima tuwe wakweli, na kam ukibahatika kama rukus basi ndo maeneo fulani unaweza kuwa na 3g out of town, na pengine tusikatae anayosema rukus, kwan yey ni mteja wa tagu mobite kama alivyosema mwenyewe, kwa hiyo tigo wanweza wakawa wampa compement kwa kuwa royal customer
 
lakini amepewa modem yenye laini mpya. na sidhani kuwa waliangalia kuwa ana simu toke enzi za mobitel hivyo akawa favoured.....
ila hawa tigo bado hawajajipanga vizuri kuhusu internet, kila mtu anapata zari upande wake, zipo account zinazidi siku 40 tena bado hazijaengezwa mafuta ya 45 elfu, ila zinaendelea kurusha mateke kama kawaida.....
 
Back
Top Bottom