Speed ya Internet ya tiGO inatisha

mkuu hmbona kwenye tariff zao hiyo bundle ya standard month ni 15,000sh vipi unalipa 45,000?

tigo2.gif
With Tigo it is easy to access the internet with your phone. Choose package, text in the keyword, and you are ready to go!
Light day – 450 tsh Text in Light day to 15166
Light week- 2,500 tsh Text in Light week to 15166
Light month- 9,000 tsh Text in Light month to 15166
Standard week- 4,500 tsh Text in Standard week to 15166
Standard month- 15,000 tsh Text in Standard month to 15166

Mkuu, unapofanya hivi vitu unatakiwa kuwa makini sana na siyo kubahatisha vitu, hizo bundle ulizoweka wewe ni maalumu kwa matumizi ya simu..... na hivyo hivyo kuna bundle za matumizi makubwa ya kwenye modem... tizama hapa chini kwenye picha...

int-pack-packages.gif

Standard week ndiyo tsh 15,000- na mwezi ni tsh 45,000-
 
@uncle rukus, vipi jinsi ya kujiunga?
namaanisha unatype keyword gani? na kwenda namba gani?
 
@uncle rukus, vipi jinsi ya kujiunga?
namaanisha unatype keyword gani? na kwenda namba gani?

Kwenye modem za tigo kwenye dashboard yake inasehemu ya kuandika aina ya bundle unayotaka na ku-activate.....So sijui inajituma kwenda namba gani mkuu....
attachment.php
 
Attachments

  • tigo mwezi.jpg
    tigo mwezi.jpg
    74.2 KB · Views: 203
Dowload big file, use DAP na utupe result ya download tutajua kwa ngapi hiyo

Ni vizuri tukisoma post yote na kuona kilishoandikwa humo, natumia vuze mkuu situmii DAP, na tayari nimeonyesha kwenye post za awali ni speed ipi napata kushusha files....

Ukiangalia picha mbili za mwanzo utaona kuna ka pop up window, Ka-VUZE ambayo ni torrent download, inaonyesha speed ya jinsi inavyo shusha files.... Akika maisha ni matamu sana ukiwa na mtandao wenye speed... hadi siku hizi na hack vijiserver ushwara hah hah hah hah:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

attachment.php

attachment.php
 
Bora mkuu na wewe umeniunga mkono wasije sema oooh Uncle Rukus anatudangaya maana hapa JF baadhi ya watu ni wabishi ile mbaya!

acheni uzushi nyie hamuwezi kufananisha TTCL na hivo vi modem vyenu vya wireless hata siku moja, tuwe wakweli kwanza hapa ni propaganda tu za tigo kutafuta watea wa internet,,
 
acheni uzushi nyie hamuwezi kufananisha TTCL na hivo vi modem vyenu vya wireless hata siku moja, tuwe wakweli kwanza hapa ni propaganda tu za tigo kutafuta watea wa internet,,

Hapa ndipo napo choka kabisa watanzania tuna tabia za ajabu sana, inawezekana umejisikia vibaya kwa huyu jamaa kuweka hii thread hapa, mbona ziko nyingi za kuonyesha speed ya mitandao mingine mbona hamsemi ni propaganda? nadhani wewe ndiye uliyeleta propaganda hapa.... Mimi mwenyewe natumia tigo na speed yake mda mwingine uwa inakimbilia hadi 3.1.mbps....

TTCL wanatoa unlimited kwa kasi hiyo? na kwa TSH 45000?
 
acheni uzushi nyie hamuwezi kufananisha TTCL na hivo vi modem vyenu vya wireless hata siku moja, tuwe wakweli kwanza hapa ni propaganda tu za tigo kutafuta watea wa internet,,

Taratibu muheshimiwa..... Naona wewe umeleta mada mpya, kumbuka naelezea kile nachokipata toka tigo, na wewe pia unaweza kuweka unachokipata toka TTCL na sisi tukione na siyo unakuja hapa na maneno ambayo kuyathibitisha huwezi.....Ndio sisi tuna tumia vimodem je wewe mwenzetu unatumia nini?

Unasema ni uzushi umetumia internet ya tigo na kwenye package ya standard na ukakosa speed hiyo au ndio umeendeleza kasumba yetu ya ubishi hata pale usipoelewa kitu unabisha tu!

Mimi siyo mfanyakazi wa tigo hivyo sinufaiki na chochote toka kwao zaidi ya kununua huduma zao tu,hayo ya kuwatafutia wateja ....Ifike wakati watu tuelimike tujue matumizi sahihi ya hii mitandao jamani siyo mtu akija na kitu usichokipenda wewe unaponda na kudai eti ni propaganda ingali wewe ndiye unaezileta

Bwaaaa hah hah hah hah hah:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Uncle Rukus,hyo 3G ya tigo inapatikana dar peke yake?mbona niko Mwanza city centre siipati,mwenye kujua coverage areas aniambie ili nisisumbuke kupoteza hela za bure!
 
acheni uzushi nyie hamuwezi kufananisha TTCL na hivo vi modem vyenu vya wireless hata siku moja, tuwe wakweli kwanza hapa ni propaganda tu za tigo kutafuta watea wa internet,,

Dahhhh, ttcl mwaka 2011, kweli bahati si yako.......:pound::pound::pound::pound:
 
Kwani umeambia jamaa anafanya promo ya Tigo? Uncle ameexperience kitu anachoona ni kizuri kushare na wanajamii; na ameeleza kwa kadri ya uzoefu wake, kama uko interested you join in, youll find out the rest, na kama unaona haijakaa poa unapotezea! Wabongo bana!

Bwana amoeba you obviously was in a bad mood when you were writing this comment, umeiangalia comment yangu kwa angle tofauti, my only intention was to get more information (na kama wewe ungekuwa kweli mtumiaji mzuri wa internet ungeona kuwa detail kuhusu amount of data ie bundle size ni detail muhimu)! Ila it's a free country, you are entitled to your views.
 
Bwana uncle naona umelike post ya mdau aliyeniponda it seems like you wanted to say the same. Anyway, Nashukuru kwa kuclarify hiyo detail ya bundle size! Labda nikupe simple analysis ambayo amoeba ameshindwa kuifikiria.

Rates za internet bundle(comparison ya cost ya 1 mb) - kwa bundles ambazo nimewahi kutumia

airtel - 2500 TZS/400MB = 6.25 TZS/1MB (mwanzoni speed was good saivi mbaya sana)
ttcl - 200,000 TZS/20GB = 9.77 TZS/1MB (far better speed than the three)
vodacom - 30,000 TZS/ 12GB = 2.44 TZS/1MB (the unlimited one - 12 ni max i downloaded)

to compare now with tigo (kwenye speed imeshawapiku wote hata ttcl hafiki 2.5mbps)
tigo - 45,000TZS/50GB = 0.88 TZS/1MB

CONCLUSION:
Tigo unapata highest speed kulilko mitandao mingine (2.5mbps) lakini pia unanunua 1 Megabyte kwa centi 88 tu badala ya shillingi 2.5, 10, 6 kwa voda, ttcl na airtel respectively. Goja tuone!
 
Inategemea na Bundle na Sehemu uliyopo..ndio mana sometime unapata 3G au EDGE au GPRS tu..

kwakutumia hizi line Zangu za Kuchakachua napata 3.5G...na speed ni 3.1Mbps na saa nyingine inashuka hadi 2.5Mbps

Nadhani kikubwa ni sehemu ulipo kama network full basi speed yaongezeka kama low na yenyewe yapungua....Hapa namalizia kudownloa movie ya UNSTOPABLE kwa speed ya 2.8Mbps yaani rahaaa tu Go tigo go!!! + FREE
 
Bwana uncle naona umelike post ya mdau aliyeniponda it seems like you wanted to say the same. Anyway, Nashukuru kwa kuclarify hiyo detail ya bundle size! Labda nikupe simple analysis ambayo amoeba ameshindwa kuifikiria.

Rates za internet bundle(comparison ya cost ya 1 mb) - kwa bundles ambazo nimewahi kutumia

airtel - 2500 TZS/400MB = 6.25 TZS/1MB (mwanzoni speed was good saivi mbaya sana)
ttcl - 200,000 TZS/20GB = 9.77 TZS/1MB (far better speed than the three)
vodacom - 30,000 TZS/ 12GB = 2.44 TZS/1MB (the unlimited one - 12 ni max i downloaded)

to compare now with tigo (kwenye speed imeshawapiku wote hata ttcl hafiki 2.5mbps)
tigo - 45,000TZS/50GB = 0.88 TZS/1MB

CONCLUSION:
Tigo unapata highest speed kulilko mitandao mingine (2.5mbps) lakini pia unanunua 1 Megabyte kwa centi 88 tu badala ya shillingi 2.5, 10, 6 kwa voda, ttcl na airtel respectively. Goja tuone!
Mkuu Jrnedy,

Naheshimu michango ya watu wote humu ndani, nili-like post ya Amoeba kwani aliandika kwa hisia kali kutokana na jinsi alivyo kuelewa kwenye post yako, pia nili-like post yako kuonyesha nimekubali au kupenda kile ulichokizungumza.....

Nashukuru kwa analysis yako nzuri, inaonekana ni mtu makini sana kwenye mambo yako na hongera kwa hilo.....

Nadhani tigo wamejipanga kufanya mapinduzi kwenye sekta hii ya mawasiliano ya data kama walivyo fanya kwa mawasiliano ya voice....Tusibiri tuone kama wataweza kuendelea na kasi hii au watachemka kama ilivyokuwa kwa Airtel.
 
Uncle Rukus,hyo 3G ya tigo inapatikana dar peke yake?mbona niko Mwanza city centre siipati,mwenye kujua coverage areas aniambie ili nisisumbuke kupoteza hela za bure!

Dah! mkuu, kusema kweli siwezi jua kama mwanza tigo wanaservice ya 3g au la maana mimi nipo Dar,na siyo mfanyakazi wa tigo.... Wewe ni kama mtu wapili sasa nasikia mkilalamika kuwa hampati huduma ya 3g uko Mwanza hivyo inaashiria kwamba hamna.
 
Bwana amoeba you obviously was in a bad mood when you were writing this comment, umeiangalia comment yangu kwa angle tofauti, my only intention was to get more information (na kama wewe ungekuwa kweli mtumiaji mzuri wa internet ungeona kuwa detail kuhusu amount of data ie bundle size ni detail muhimu)! Ila it's a free country, you are entitled to your views.

Easy kaka, nothing personal! Hapa tunajenga nyumba 1. PAMOJA.
 
mkuu, umenitamanisha sana, natamani hata kutupa modem yangu ya sasatel, maana speed yake ni hovyo kabisa, kama unadowload file la 10mb unaweza kwenda town na kurudi ndio ukute limemalizaka kodownload..... Mkuu, ina maana ukiwa na Bundle nyingine tofauti na hiyo ya 45,000 kwa mwezi uwezi pata hiyo speed?
 
Tigo raha kwa kweli,Lakini sasatel nao raha lakini ununue bandle ya 7500 kwa wiki zote natumia na ni safi,sema inategemea na eneo pia
 
Back
Top Bottom