Speed ndogo ya youtube

the kapex

Member
Feb 4, 2011
35
2
Jamani naomba msaada kama kuna namna nyingine ya kui play you tube mara ninapoifungua huwa inaplay kidogo kisha inaonekana ikiendelea kuserch kuja ikaplay bila kusitasita ni hadi ifike mwisho sasa labda kuna njia nyingine hebu nisaidieni ili nikiiplay iende moja kwa moja bila kusitasita
 
jaribu kubadili setting weka 240 badala 360 lakini picture quality itakuwa siyo nzuri
 
Disable HD setting if it is enabled.
Good solution
3G/3.5G/broad band yoyote ndio connection nzuri kwa kuzifaidi video za youtube.
 
Jamani naomba msaada kama kuna namna nyingine ya kui play you tube mara ninapoifungua huwa inaplay kidogo kisha inaonekana ikiendelea kuserch kuja ikaplay bila kusitasita ni hadi ifike mwisho sasa labda kuna njia nyingine hebu nisaidieni ili nikiiplay iende moja kwa moja bila kusitasita

internet speed yako siyo nzuri,try to upgrade to fast internet access
 
Internet speed yako sio nzuri. Ikianza kuplay click pause.. iche hadi imalize kudownload kabisa ndipo uplay.
 
Speed mkubwa inaonekana unatumia 2g badala ya 3g,mtandao mzuri wa kucheza video streaming zote mi nadhani ni Airtel ambayo mi naitumia hadi kuangalia live match za kwenye dstv bila ya matatizo yoyote.
 
Natumia 3g tena natumia modem ya voda kwa laini ya airtel mkuu lakini bado tatizo ni hilo hilo
 
Back
Top Bottom