Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,062
- 731
Sidhani kama Tatizo la kuongea linatokana na kiingereza duni tu. Tatizo lipo katika kujua matatizo ya nchi kwa ujumla kujali Watanzania na mipango ya serikali ya CCM katika kutatua matatatizo ya Tanzania.
Jibu la kikwete linaonyesha wazi wazi kwamba serikali ya CCM haina mwelekeo, haijui inafanya nini, haijui jukumu lake katika kuendelezanchi yaTanzania.
Jibu la Kikwete linaonyesha jinsi yeye Binafsi alivyomtupu na akili yake ilivyouchi katika uelewa wa nafasi yake kama Rais wa nchi na pia kama Mtanzania.
Zamani zile Kikwete aliwahi kusema hajui kwa nini Tanzania ni masikini,hakika alikuwa akiongea ukweli kutoka akilini mwake.
Kikwete hajui kwa nini akae chini na kupanga maendeleo ya nchi wakati yeye binafsi na serikai yake hawaoni tatizo.
Hili ni Tatizo la kuwa na washauri kama Dr Feki Nchimbi na Tyson. Kikwete amezungukwa na Mashati yasiyo na viwiliwili wala vichwa yajiitayo washauri wa Rais. Nchimbi anaweza kumshauri nini Rais wa nchi?? Zaidi ya Umbeya na Mademu?
CCM imefisrisika kisiasa kilichobakia kuilinda CCM isife ni Ngumi,Wizi na Uongo. Hayo ndo Mafiga Matatu ya CCM
CCM wanasema uongo,Uongo wa Kumanufacture kma kumanufacture walimu, uongo ukiwashinda wanakunja ngumi kwa hasira huku wakinyea raia wa nchi uongo wakiwatisha wauamini kwa nguvu, vyote vikishindikana wana tumia fedha za wizi na kuongeza uongo juu yake na kusurubu kila ashindwaye kuamini uongo wao.
Rais kikwete anaiwezea mipasho ya kihunihuni tu mambo yakiwa serious utamwonea huruma.Baada ya kuuliza swali Jamaa aligeuka sura akafanana kabisa na jinsi alivyokuwa pale Jangwani kabla ya Kudondoka Pwaa!!! Pale jukwaani. Alishikwa na fadhaiko mkuu.
Yule Demu binti wa Tycoon wa Marekani hakuongopa pale alipo sema jamaa kwenye issue za kitaifa ni mtupu hana nguo, na pale mkiwa Faragha anajichekesha Kaa kajivulana fulani kasiko jua kutongoza.
Niatakuwa sijasema kila kitu nisiposema kwamba Kikwete ni aibu kuu ya taifa zima na ni mzigo wetu wote. Sisi ambao hatukumpigia kura, wale wliompigia kura na wale waliosaidia kwa namna moja au nyingine kuiba kura ili ashinde watu kama Kiravu Yule Jaji Kishaibu na mwanga muwanga uchi, UWT na wananchi wa kawaida waliofaidika na Tshirt kofia na kanga za Green na Kijani kumradhi yellow.
Naamini kama si Per DM Mheshiiwa asingeenda huko Mkutanoni.
Kwa mtaji huu wa Viongozi wa kada ya Taifa wasio na vision na watupu aina ya Kikwete, hata ipite miongo 7 bado tutakuwa nyuma kama mkia wa mbwa.