Mkuu Dingi, pole kwa jibu lililochelewa kidogo.Fanya mahesabu kidogo ya matumizi yako ya umeme.
Una taa ngapi? taa ya kawaida ni watts 40, kwa hiyo kama una taa 10--400watts
Friji yaako inatumia umeme kiasi gani? nyingine ni 500watts
Je una pasi? 1000watts
Jiko la plate ngapi? kama ni mbili kila moja 1000watts 2000watts
TV na radio zina matumizi madogo, kama 300watts
Hivyo basi jumla ya matumizi 4200watts
Hivyo basi unashauriwa kununua jenereta kubwa kidogo kuliko matumizi yako ya karibu 5000-6000watts(au 5-6Kva) single Phase
Solar electricity ni nzuri sana kama utakuwa na matumizi madogomadogo, lakini kwa matumizi yote aliyotaja Dingswayo siyo rahisi au vinginevyo utaingia gharama kubwa zaidi pengine kuliko hata generator.Mkuu asante hata mi nimeambulia, kwani sikuwa najua kv huwa zina maanisha nini? Huwa naishia kusikia ni nzuri ina kv sijui ngapi.. ohhh elimu haina mwisho asante sana Gwakisa
Lakini Dingi, kwanini usiweke solar mkuu?, garama ya genereta, = running cost zake na risks hasa kama watumiaji si makini, kwa solar ungepeta zaidi. Uzuri wa soalar kama huna pesa ya kutosha unaweka ya kuazia then unakuwa unaendelea iongeza jinsi unavo pata pesa, haina risk za kulipuka, wala kuishiwa mafuta.
Kweli kabisa.nakushauri tumia generator itakusaidia sana na nakushauri tafuta generator ambao spares zake zipo available huko Tanzania
Mkuu Dingi, pole kwa jibu lililochelewa kidogo.Fanya mahesabu kidogo ya matumizi yako ya umeme.
Una taa ngapi? taa ya kawaida ni watts 40, kwa hiyo kama una taa 10--400watts
Friji yaako inatumia umeme kiasi gani? nyingine ni 500watts
Je una pasi? 1000watts
Jiko la plate ngapi? kama ni mbili kila moja 1000watts 2000watts
TV na radio zina matumizi madogo, kama 300watts
Hivyo basi jumla ya matumizi 4200watts
Hivyo basi unashauriwa kununua jenereta kubwa kidogo kuliko matumizi yako ya karibu 5000-6000watts(au 5-6Kva) single Phase
Asante sana nashukuru sana. Idumu JF!
Solar electricity ni nzuri sana kama utakuwa na matumizi madogomadogo, lakini kwa matumizi yote aliyotaja Dingswayo siyo rahisi au vinginevyo utaingia gharama kubwa zaidi pengine kuliko hata generator.
Mwenye swali au ufafanuzi kuhusu masuala haya ya umeme aniulize.
Napenda kuwauliza wale wataalamu wa umeme: specifications za generator ya umeme unaowezesha kutumika kwa taa, fridge, jiko la umeme katika numba yenye vyumba kama vinne hivi, ni zipi?
Natanguliza shukrani.