Special Valentine For You Mch. Masanilo...

Hah ntaamini ukimtaja. Ndio we mtegaji wa hizi mambo.
Mbu, keshakuitika salamu yako. (Naye sijui kafichwa wapi tena)
Hus kala bingo la ukweli. . . yani ukisikia nyoka katoka pangoni kisa Hus jua ni nyoka, nyoka kweli.
 
Will do baba mchungaji. . . namwandikia barua ya kumpooza!!

Mi yangu macho mamaa Lizzy maana naona sasa huambiliki umekolea vya kutosha ninawasiwasi huyu baba mchungaji anatumia nguvu za giza mpaka amekung'oa! Lol
 
babu utaweza nini?
Kumng'ang'ania GM ni kumtesa
anahitaji suluba huyu

sasa wewe na hilo jino lako moja kama pembe ya faru litafaa nini?
Understood! Wakubwa kwa wakubwa siyo? Orayt.... Kongosho, come this way my super valentine.
 
Hahahaha naweza kukwambia kwa ruhusa ya baba mchungaji. . . mwombe tuone kama atakubali.

Dah kweli umeshikwa pabaya mpaka nimuombe ruhusa Baba mchungaji? Haya ngoja nimuombe..baba mchungaji mruhusu Lizzy aniambie uzuri wa kuvaa msuli plz
 
Dah kweli umeshikwa pabaya mpaka nimuombe ruhusa Baba mchungaji? Haya ngoja nimuombe..baba mchungaji mruhusu Lizzy aniambie uzuri wa kuvaa msuli plz

Hehehehe. . .
Ngoja tuone kama atakubali nitoe siri nje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom