Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Niko mbeya nahitaji TV flat iwe katika hali nzuri tahitaji leoleo 6/12/016 bajet 150,000

0753445531
 
Natafuta screen ya LG inch 40 naweza kupata ya kwangu imekufa screen na bei gani naweza pata?
 
Tunakutumia mkuu, mkuu wewe sema tu, kama utasema iv sasa nikutumie saa tisa leoleo utachukua tv yako, na utalipa baada ya kupokea tv yako
Ni used au mpya mkuu
Samahan kwa swali lingine
Nahitaji Lg inchi 32 au Philips inchi 32
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom