SPECIAl THREAD : USISOME KAMA UNAIPENDA CCM.......

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Kuanzia sasa sitasoma post yoyote inayohusiana na UVCCM au CCM...Wanatuchezea akili hawa...Makamba na Sumaye lao moja hii ni njia ya kutuvuruga.Ona sasa tumesahau ya msingi..........
 
hata mimi sema tv ndio zinatuvuruga mara tabora mara jamaa wa kilimanjaro katoa siku saba uvccm iondoke jaman ila kuna anguko kubwa zaidi, maana sita nae kabana mbavu mpaka mwisho
 
kaa chini na uandike mambo ya msingi huu sio mtandao wa watu wakurupukaji kama wewe...kuwa makini na pumba unazo post,unataka kutuaminisha nini sasa mbona hueleweki.kila mtu ana uhuru kwa kutoa maoni juu ya mstakabari wa taifa ili na sio kuchagua habari nani kaongea komaa kisiasa dogo.

dizle
from udom
 
Back
Top Bottom