Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

farkhina uaiogope hemu Jaribu japo mara 1. Mi nashawahi kunyoa mara 2 Na kila alieniona akanisifu.
charty nahusudu kweli kuweka short hair. Sema saivi hubby hanikubalii tu. Haya manywele yashanichosha yananitia joto Wallah. Ukinyoa raha, unakuwa huna shengesha ya kushughulikia manywele.
Angel Nylon raha inakua raha sana wakati wa kuoga coz unaanzia kichwan hadi miguuni..una feel fresh!!!msaprizz hubby wako kwa kunyoa au atakutimua kwenu hadi ziote teh teh..
 
Angel Nylon raha inakua raha sana wakati wa kuoga coz unaanzia kichwan hadi miguuni..una feel fresh!!!msaprizz hubby wako kwa kunyoa au atakutimua kwenu hadi ziote teh teh..

Hahahahaha weee unamtaftia balaa mwenzio lol
 
Wapendwa,
Nimeona nifungue uzi huu maalum kwa wadada wanaopenda mitindo ya nywele. Katika uzi huu nitakuwa nikiweka mitindo mbalimbali ya nywele kila nitakapopata nafasi, lakini pia kwa wale wenye kupenda mitindo ya nywele mnaweza kutupia picha mbalimbali za mitindo ya nywele ili kuweza kupeana uzoefu.


Karibuni sana wapendwa.

Naomba MODs waiweke thread hii sticky ili iwe ni mahali pa kupakulia mitindo ya nywele kwa wadada.

Haramu kwa mwanamke kuachia nywele zaki wazi mbele ya wanamme ambao si halal yake.

Amri hii imeandikwa kwenye Quran na Biblia.

Mwanamke anapo kuwa hadharani anatakiwa avae veli.
 
huyu nimempenda sana
Hata mimi huwa napenda sana mrembo awe na nywele ndogo ndogo kama hizo za Flaviana pichani, hata upara sio kesi kwangu.

Kifupi napenda mrembo mwenye nywele fupi, kama zikiwa ndefu basi ziwe zake za asili, sio zile za kuunga unga/za kubandika.

Labda hizo za kuunga unga/za kubandika itokee tu, sina tatizo.

Lakini za asili hata ziwe fupi wakiweka zile dawa zao, sijui ndio wanaita Weave wanapendeza sana.

Huwa napenda sana kumuona mlimbwende kwenye nywele fupi
 
f8a376b908aa3c333930754537e56d81
Huu wa kuwa kama kajitwika kinu?duh wanawake mna kazi.
 
Nauliza swali moja tuu. Nataka nitoe kipilipili, nywele ziwe nyeusi na laini. Nitumie nini? Nywele zangu kavu. Nywele zangu ni fupi. Za kitana.
 
Salute kwa wadau,
Ninaomba tushirikishane mafuta ya nywele kwa nywele za aina mbalimbali hapa,mafuta ya dreadlocks,nywele ndefu,wale wa kuset nk.Kwa sisi ambao tunapenda kunyoa nywele fupi,maarufu kama low cut..nawaomba mtafute mafuta yanaitwa BLUE MAGIC-INDIAN HEMP.Kwa kweli mafuta haya ni mazuri sana na ya kijanja kwa nywele za aina zote.Na yanauzwa kwa bei poa sana.Kwa wale waliokuwa hawajaamua watumie mafuta gani kwa nywele zao za aina yoyote, hebu jaribuni haya,na mtakuja kuniambia hapa.
 
Habari za humu wakuu

Ni fanye nini ili nywele zangu ziwe za kupendeza na kuvutia?

Huwa napenda kuwa na nwele ndefu zinapo kua ndogo na saizi ya kati huziona ni nzuri na zakuvutia sana hata watu husifia lkn zinapo kua ndefu zaidi zinapoteza mvuto hata ninapo paka mafuta hazioneshi kama zime pakwa mafuta

Nimejaribu mafuta aina mbali mbali lkn sija fanikiwa

Huwa naona wivu ninapo waona wenzangu wana nywele ndefu na zime pendeza

Naimbeni msaada wenu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mie nina nywele natural sijawahi kuweka dawa huwa natumail Black Castol Oil zilikuwa zinapendeza sana ukifata procedure zote na matumizi ya mafuta ,
Ila sasa sijui uzee .....
 
Yanakuza au vp?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Yanafanya nywele ziwe zina sparkling, kwa sisi wa low cut zinafanya nyele zilale vizuri bila hata kutumia brush kuzilaza.Pia yananukia vizuri sana,hayana harufu ya kukera kama mafuta mengi ya nywele,na bei yake ni affordable kabisa,buku sita au saba.Kizuri kula na ndugu yako...badala yake nashutumiwa hapa natangaza biashara wakati nataka watu wawe wana shine
 
Back
Top Bottom