Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

ayaaaaa!! ongezeni nyingine I am learning somethin kuwa urembo sio lazima utinge mawig au madawa dawa kichwani hata natural beuty ni poa tena poa zaidi kwa kuwa unaepukana na chemikali na kubaki na unatural wako.
Thanks wakuu
 
kisura huyu na low cut yake...kapendezaaa
 
Attachments

  • 1441209660806.jpg
    1441209660806.jpg
    40.8 KB · Views: 335
Yaani kapendeza wengine sijui tutafananaje tukiwa na low cut 😂😂😂😂😂

mi nimenyoa hivi..jaman hahaaa sema nna kajikomwee fulan ebu vuta picha nafananaje...khaaa nilichoka kusukaaa;)
 
mi nimenyoa hivi..jaman hahaaa sema nna kajikomwee fulan ebu vuta picha nafananaje...khaaa nilichoka kusukaaa;)

Unajua vikomwe ni sehemu ya urembo ivoo sema tu isizidi najua tu umependeza

Me nlitaka kunyoa style kama hii ya nywele ndugu zangu wote hawakuni sapoti na wengine walisema nikiweka hiyo style nisiwasemeshe 😂😂😂 ImageUploadedByJamiiForums1441211675.265417.jpg
 
Unajua vikomwe ni sehemu ya urembo ivoo sema tu isizidi najua tu umependeza

Me nlitaka kunyoa style kama hii ya nywele ndugu zangu wote hawakuni sapoti na wengine walisema nikiweka hiyo style nisiwasemeshe 😂😂😂 View attachment 283093
hahaaaa ungenoga mii hivi nilishafanyaga sana kipindi cha nyuma nilikua nasukia weaving kwa mbele
Umeona eeeh sio contour too much kama wale wanofanana na midoli
yes mtu anafanyiwa contuor anakua kama amekongoroka uso hahaa kumbee urembo...kila kitu kias too much is harmful valentina njoo uone
 
Sasa imagen mie nna uso mrefu nkiwa na low cut itakuaje 🙈🙈🙈

sasa wee unapendeza zaidii tena ukimaliza hapo kujiremba unatupia na zile miwani za shadee..yaan utakuwa on fleeek hautatisha bana...:p:p
 
muone na huyu fackina
 
Attachments

  • 1441212936539.jpg
    1441212936539.jpg
    34.3 KB · Views: 298
Yaani kapendeza wengine sijui tutafananaje tukiwa na low cut 😂😂😂😂😂

mi nimenyoa hivi..jaman hahaaa sema nna kajikomwee fulan ebu vuta picha nafananaje...khaaa nilichoka kusukaaa;)
farkhina uaiogope hemu Jaribu japo mara 1. Mi nashawahi kunyoa mara 2 Na kila alieniona akanisifu.
charty nahusudu kweli kuweka short hair. Sema saivi hubby hanikubalii tu. Haya manywele yashanichosha yananitia joto Wallah. Ukinyoa raha, unakuwa huna shengesha ya kushughulikia manywele.
 
Last edited by a moderator:

Shemegi yako hataki hata kuskia habari za kunyoa nywele nlikua nakata ncha tu kila baada ya six weeks alikua ananisema
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom