Special thread: Ujinga ni?

Utakua Ujinga Kuendlea Na Mtandao Wa Mb 1 Wakat Kuna Mengne Unatumia Net Uxku Bure Ata Ukitaka Download Season Ya Jumong Au Merlin Had Kpnde Cha Mwisho
 
Utakua Ujinga Kuendlea Na Mtandao Wa Mb 1 Wakat Kuna Mengne Unatumia Net Uxku Bure Ata Ukitaka Download Season Ya Jumong Au Merlin Had Kpnde Cha Mwisho

ujinga ni kuandika kama wew hapo

Mwandiko mmbaya na x sijui ni lugha gani
 
Ujinga ni kuwafokea watoto kwakuwa hawana akili, wadokozi, wana viburi, wezi, waongo, walaghai, n.k Wakati ukijua wewe tangu uzaliwe umekuwa Mwana CCM unasahau kuwa watoto wamerithi tabia yako ya U-ccm!! ha ha haaaaaaaa aaah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom