Special thread kwa Nguli

Halafu yale mambo itakuwaje sasa kuyatimiza au ndio skype

pia yale yana utaalamu wake.....kuna thread moja humu ndani ililetwa kuna mtu anatafuta mtu wa kuyananihii nae online....vituko i vingi dear
 
pia yale yana utaalamu wake.....kuna thread moja humu ndani ililetwa kuna mtu anatafuta mtu wa kuyananihii nae online....vituko i vingi dear
Duiani kuna mambo na kila siku wanabuni kitu kipya cha kufanya dhambi lol huko miaka kumi ijayo sijui dunia itakuwaje
 
Yaani mwaka jana tu (2010) nyie mnaita enzi hizo? Acheni utani bana....hahahahahahaaaaaaa daaaaah!!!!

Na watu mliojiunga 2009 na 2010 mnajiona wakongwe humu eeeh? Y'all can't be serious.
 
jamani tuulize vizuri asije akawa kwenye walioounguziwa vibanda vyao tukamsahau kabisa
karibu mbe
 
Back
Top Bottom