Special thread kwa Nguli

Enzi za kudumisha Mila....unazikumbuka eh?

Siku hizi ni enzi za "Kutafuta mchumba"

na hao wachumba hatujui kama wanapatikana au laa....enzi nzile ilikuwa ukidumisha mila inajulikana kabisa mila ilidumu hakukuwa na longolongo......kama siku zilikuwa zinaganda tungegandishia pale pale.....
halafu na wewe.......nkiki??
 
Enzi za kina Naniliu unazikumbuka?
 
kuna mwehu fcbk alishawahi kuleta humu eti kaambukizwa ngoma na mtu wamekutana online.bora ndoa zifungwe humu na watoto wazaliwe humu humu manake watu hawajui how to deal with strangers,lol!
Yaani bila hata ya kukutana uso kwa uso?
 
Back
Top Bottom