Special thread kwa Nguli

aaaaah!!! This thread is soooo touching!!!!!! I like it!!!!
Be openn Halima..Nguli touching you or thread?...
This is a place where we dare to talk openly...dont feel bad to admit that you have feelings for Nguli...He is jst a calm and gentleman Halima!
 
Nguli hata mie nakumiss sana mtu wangu siku hizi umekuwa mpole ..
kumbe unaandaa single naomba kiitikio sauti yangu isikosane...
 
Be openn Halima..Nguli touching you or thread?...
This is a place where we dare to talk openly...dont feel bad to admit that you have feelings for Nguli...He is jst a calm and gentleman Halima!
..hehehehe
AHSANTE kwa kuyajali ''masilahi ya wapwaaz''

SENKSI
 
mtoto wa watu alienda kufanya nini topeni jamani?
Namuonea huruma sana, sijui nani atamnasua.
Haha hahaaaa haaaaa

Hahahaha una vituko wewe!!!
Vp upo Mombasa nini maana waarabu wa Pemba wajuana kwa vilemba.
 
Bht karibu jukwaa la dini utamwona anavyohubiri ni mchungaji wa kimataifa.

wasaidizi wakina October, Weboroya (i can imagine - kule kwenye lile jukwaa hawa jamaa huwa wananikosha sana)

kuombewa watatoza bei gani (kama unafununu)
 
Kwani Bujibuji mwarabu na yeye? sasa wale wa Oman na Dubai huko watasemaje hahahahahahah mpwa una uchokozi kweli weye
 
Ha ha ha wewe mchokozi wewe! hilo swala linahitaji thread mpya.
 
hee heeeee haya kwa heshima yako nalitoa swali langu!!!!

Ila sincerely niwamis sana we na Burn (hii ni kutoka moyo wangu wa nyama kabsaaa no longolongo hapo)

ukimwona mpe salamu zangu za upendo wa Agape plz!!!
 
Kwani Bujibuji mwarabu na yeye? sasa wale wa Oman na Dubai huko watasemaje hahahahahahah mpwa una uchokozi kweli weye

Hahahaha mpwa si unajua ukiuza utumbo usiogope nzi.
Kukesha ni mbwembwe kikubwa ni kuelewa.
 
hee heeeee haya kwa heshima yako nalitoa swali langu!!!!

Ila sincerely niwamis sana we na Burn (hii ni kutoka moyo wangu wa nyama kabsaaa no longolongo hapo)

ukimwona mpe salamu zangu za upendo wa Agape plz!!!

Tunashukuru kwa kunikumbuka nitakuja kukutembelea kipindi hichi cha vacation. Burn sijamwona siku nyingi na sina taarifa zozote za huyu ndg yetu ila naamini he will soon be back.
 
huyo mkuu nguli mmemchokoza wenyewe sasa ........

anyway karibu sana mkuu
 
Back
Top Bottom