Special thread:DR Mohamed Bilal na uwekaji mawe ya msingi,uzinduzi,utoaji tuzo na etc

Hii awamu ya 4 imedhamiria kuvunja rekodi kwa style za aina yake.

PRESIDENT - Amedhamiria kuwa kuwa kiongozi aliyetumia muda mwingi wa uongozi wake kuwa nje ya nchi akiombaomba misaada. Pia ni kiongozi aliyehudhuria misiba mingi ndani na nje ya nchi yake

VICE P- Amenuia jina lake liwe kwenye majiwe ya msingi, makaburi, majiwe ya sekondari n.k
 
Hongera Makamu wa Rais kwa kazi nzuri ya kufungua miradi ya maendeleo.
 
Hii awamu ya 4 imedhamiria kuvunja rekodi kwa style za aina yake.

PRESIDENT - Amedhamiria kuwa kuwa kiongozi aliyetumia muda mwingi wa uongozi wake kuwa nje ya nchi akiombaomba misaada. Pia ni kiongozi aliyehudhuria misiba mingi ndani na nje ya nchi yake

VICE P- Amenuia jina lake liwe kwenye majiwe ya msingi, makaburi, majiwe ya sekondari n.k
hahahahahah.
 
hivi hizi kazi za ufunguzi haziwezi kufanywa na wakuu wa mikoa, wilaya au kijiji husika ? ili per diem za huyu jamaa zikatumika katika mambo mengine na pia mafuta kwa ajili ya magari ya msafara yakafanya mambo ya muhimu. yani hawatumii opportunity cost hata kidogo.
 
Hii ni special thread ya uwekaji mawe ya msingi,uzinduzi,utoaji tuzo na etc anayofanya Makamu wa rais DR Mohamed Bilal. Ifahamike kuwa hizo ndio kazi ambazo muda mwingi Dr Bilal anazifanya
002.jpg

Makamu wa raisi Dr Bilal akiweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi kijiji cha mkiu-mKuranga
namshangaa haoni aibu kufanya kazi rahis kama hizi
inaonyesha ofisini kwake hana kazi ya kufanya-ila kuwa naye ni cost sana-maana anazunguka huku na kule akiwa na msafara bila kujali unatumia shs. nagapi.
hizi kazi awaachie ma-dc wazifanye-hata kama hana shuhuli kwa ofisi
 
Makamu wa raisi mheshimiwa dr mohamed bilal akikata utepe kufungua tanki la maji lenye ujazo wa lita 50 kijijini sigimbi mkoani Shinyanga...

Ndugu Yo Yo, hapo kwenye red imekaaje, kwa kukurahisishia pipa moja ni lita 200, sasa hilo ni tanki la kunyweshea kuku wa kijiji au hesabu darasani ilikuwa mgogoro?
 
Hongera Makamu wa Rais kwa kazi nzuri ya kufungua miradi ya maendeleo.

Mzanzibari huwezi kumpa kazi ngumu kama za Magufuli, hiyo kazi ndiyo inayomfaa sana ili Muungano usivunjike! Kwa kumbu kumbu zangu rekodi zilikuwa hivi kwa hawa wazanzibari;
1: Omary Jouma alikuwa bingwa wa kupanda miti, hata kama umepanda mchungwa kijiji cha mpakani mwa nchi, ukimwita azindue alikuwa anakuja!
2: Dk. Cheni alikuwa bingwa wa vyote, yaani upandaji miti na mawe ya msingi na sekondari
3: Dk. Bilauli yeye ameanza na mawe kwa kasi ya ajabu!
 
msela anakula maisha mazuri sana...imagine unafanya hivi fr five years na unalipwa mahela kibao....mambo ya nchi unamuachia vasco dagama

unabakiza kazi moja tu ya kuoa na kufuga busha tu sababu unamihela kibao..:juggle:
 
Back
Top Bottom