kazi zingine kujidhalilisha !!! oa
PhD in Nuclear Physics......down the drain.......what a waste..saa hizi huyu angekuwa maabara
hivi kuna umuhimu wowote wa kuweka mawe ya msingi yenye majina ya viongozi katika majengo na miradi ya umma ?! ni kuweka historia ama nini hasa? sababu hainiingii akilini kwanini tuwaweke kwenye historia watu wanaididimiza nchi yetu. sioni umuhimu zaidi ya kuchoma pesa za umma kwa ajili ya kukata utepe.