Special thread:DR Mohamed Bilal na uwekaji mawe ya msingi,uzinduzi,utoaji tuzo na etc

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Hii ni special thread ya uwekaji mawe ya msingi,uzinduzi,utoaji tuzo na etc anayofanya Makamu wa rais DR Mohamed Bilal. Ifahamike kuwa hizo ndio kazi ambazo muda mwingi Dr Bilal anazifanya
002.jpg

Makamu wa raisi Dr Bilal akiweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi kijiji cha mkiu-mKuranga
 
_DSC0368.JPG

Amebobea sana katika kazi hii kuliko ya utaalamu wa nyukilia
 
Daraja%2B1%2C.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Daraja la Mingumbi lililopo Wilaya ya Kilwa,

000-1.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwasalimia wananchi baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika jengo la Kituo cha Afya cha Kitomanga lililopo Lindi Vijijini
 
Pamoja mkuu hii imekaa vizuri!
 
Aisee, hivi kumbe hizi ndo kazi za Makamu wa Rais,!!!!!!!!! nani sasa anaishindwa hii kazi??????????????:yawn:
 
hahhahahahahahh wana JF mmepinda,mtu analipwa mamilioni kuwa na kamkasi ka kukatia tepe na kuvalisha mashada.....na madaktari wanaohatarisha maisha yao kwa kufanya kazi ktk mazingira magumu wanalipwa pesa mbuzi......sijui tukoje?
 
377199_248662508526973_107169869342905_696265_1127660835_n.jpg

Yo Yo ipe maneno mwenyewe hii
Makamu wa raisi mheshimiwa dr mohamed bilal akikata utepe kufungua tanki la maji lenye ujazo wa lita 50 kijijini sigimbi mkoani Shinyanga...
 
Daraja%2B1%2C.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Daraja la Mingumbi lililopo Wilaya ya Kilwa,

000-1.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwasalimia wananchi baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika jengo la Kituo cha Afya cha Kitomanga lililopo Lindi Vijijini

Afadhali hajaambatana na wote wawili. Naona mke mmoja tu leo.
 
Hilo ndio tatizo la kuwa na makamo wa rais anayeteuliwa na Rais kuwa mgombea mwenza badala ya makamo wa rais anayetokana na kura za wananchi, mfano miaka ya nyuma wakati ule Waziri Mkuu na Makamo wa Rais ilikuwa ni kofia moja. Chini ya mfumo ule, nafasi ya makamo wa rais ilionekana na maana kwasababu iliunganishwa na majukumu ya waziri mkuu. Vinginevyo hii nafasi inamaliza tu hela za walipa kodi kwani ni ya kisiasa zaidi just to accommodate Zanzibar au Bara, depending Rais anatokea upande gani wa muungano. Ujio wa CUF umeivuruga sana CCM katika suala hili, kwani kwa mfano, CUF wakishinda Zanzibar, na CCM iendelee kuwa na running mates wa nafasi hii ili kutopoteza wapiga kura wake ZnZ, ina maana makamo huyu wa Rais atakuwa juu ya Rais wa CUF Zanzibar kicheo? Au mtindo huu utakufa pale CUF itakaposhinda Urais Znz? Na chini ya serikali tatu, tuseme CUF wanashinda Znz, CCM wanashinda Bara, Makamo wa Rais wa chama kilichoshindwa ZnZ (CCM) atakuwa Mkubwa wa Rais aliyetokana na chama kilichoshinda Znz - CUF? pengine wataalam wa masuala haya ya kikatiba wanaweza kutujuza zaidi, vinginevyo ni suala la kuumiza kichwa tosha.
 
Kweli hii ni umiza kichwa.....hapo mwishoni sijaelewa vizuri!!
 
msela anakula maisha mazuri sana...imagine unafanya hivi fr five years na unalipwa mahela kibao....mambo ya nchi unamuachia vasco dagama
 
Back
Top Bottom