Special thanks kwa jamii forums from Diva Loveness (Part two)

napita tu......kweli wabongo tunapenda kulazimisha vitu ili vijulikane......
 
You are welcome Diva,,, Hebu mwacheni Bana!!

Wivu tu, LOL
 
Kwa kweli lazima kutakuwa na ajenda ya siri kwenye hizi video za ajabu ajabu anazotoa huyu dada.

Tuwasaidieje vijana wa naopotea kama huyu Diva? Au kuna kitu wanavutishwa hapo Clouds?

So sorry kwa wazazi wake na cha kushangaza wanamsapoti kwa nguvu zoote.
 
Sikiliza wimbo wa mheshimiwa joseph mbilinyi utatapata majibu ya maswali muhimu uliyouliza:

YouTube - antivirus song-song of MR. Two a.k.a sugu.wmv
 
Back
Top Bottom