Special Romantic Moments......

Mpenzi wangu Nyani Ngabu (Mpenzi kaka nsijevunjiwa screen bure)
Funguka bana.............how do you interprete mpenzio (wa kweli ) akikupa treat inayokufanya ujisikie u special kwake..unaichukulia ni wajibu wake kwa kuwa wewe u mpenzi wake au unamshukuru? Na ukimshukuru unamshukuruje?
Funguka mydia! you never know watu wanawezafall online ati!! (joke)

Mupenzi wangu MwanajamiiOne, naweza funguka kwenye PM?
 
Nani huyo? hebu eleza vizuri basi??

Inawezekana ulikuwa na shost wako akukupa umbeya wa kutosha au???

Mzee DC......unataka kudai Mahari kabla watoto hawajaridhiana? hahah muda ukifika utaambiwa tu na itifaki zitazingatiwa nawe kama Babu utapata kiko chako hahahha............... hakuna mwingine zaidi ya Mjukuu wako wa hiari!!!! Need I say More??
 
Binafsi zote zimalizwa na maumimivu, naamini kuwa mwisho mzuri ndio hukumbukwa kuliko mwanzo nzuri mwisho uwe mbaya.

....optimists twasema, 'nyota njema!......'
pessimists ndio mtaokuja na hopes za mwisho mzuri...
e bana wee...kwenye mahusiano & mapenzi hakuna mwisho mzuri!
 
....optimists twasema, 'nyota njema!......'
pessimists ndio mtaokuja na hopes za mwisho mzuri...
e bana wee...kwenye mahusiano & mapenzi hakuna
mwisho mzuri!

Ndo kusema hapo, mkuu, umekuwa rational? LOL (afu nahisi kama hii sredi inanikwanza ngoja niende kwa gadaffi)
 
hahah mkuu usharobaro kazi unakumbuka hizo, zilikuwa sometimes posta wanazirudisha ivo ivo, hawazipokei wakizistukia? hivi tulikuwa tunafutia nini? kasponji kenye maji maji ivi?

(halafu mkuu, ushawai kujiuliza uliyekuwa unamwandikia na yupo wapi sasa hivi? definately 75% probability humumwoa)

Unaongelea kuoa au kuwowa?
 

...mwj1 we acha tu...nikikumbukia lunch break kwenye kiota cha serengeti,...

pool.jpg


...
165_02032009_194504_a.jpg
....na ma chef waliokuwa wakijituma
kuhakikisha twaufaudu mlo wetu,....the whole experience is second to none...

kama nilivyotanabahisha hapo awali...it takes two...we had the best time of our lives...
nothing to regret kwakweli...labda muda tu haukutosha...i wish tungekaa huko wiki nzima labda,,,
hahhhhhhh!

Lazima ulienjoy sana Mbu.....

images.jpeg
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    3.3 KB · Views: 40
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nani huyo? hebu eleza vizuri basi??

Inawezekana ulikuwa na shost wako akukupa umbeya wa kutosha au???
Hahahahahaaaaaaaaaaaa hii nimeshindwa kujizuia kucheka....................Mzee DC nimesema memories za kukufanya ujisikie someone special.......je shoga anawezakufanya ujisikie someone special kwa umpendaye??
 
Mbu na MwanajamiiOne hivi mnajua nyinyi mkiandika kitabu cha malovee mtauza sana? Mmewahi fikiria hilo?

...dahhh, thanks for the compliments kiongozi...huyu MwanajamiiOne natamani nimjue in real life yukoje...lol!
She's my inspiration kwakweli....


Ndo kusema hapo, mkuu, umekuwa rational? LOL (afu nahisi kama hii sredi inanikwanza ngoja niende kwa gadaffi)

...lol,....basi achana nayo hii sredi bana, usijesababisha usiku ukawa mfupi bure.
ngoja nami nikalale ...nikiwazia maneno ya mwj1 kujiskia raha kiasi
cha yeye kuishiwa busara ya jinsi ya kuonyesha furaha yake...
 
...hahhh, nimjuavyo mwj1 atalifunga funga hili weee mpaka thread i expire.
nimemsoma, she'd the best 3days of her life...kwangu mie thats speaks volume.



...hapana,...we are soulmates,...ila hii retreat meant to be the beginning of something big,
the gamble paid off,....lol...

All in all, she's worth more than rubbies...kwa urembo wake na ninavyomthamini,
furaha yake ni faraja yangu,....sihitaji malipo zaidi ya ile furaha na tabasamu nilokuwa namuona nayo
tangu day 1 ya safari yetu...ahhhh...what a week end!


Hivi retreat yenu ilikuwa ya siku ngapi vile......?????
 
Umeona ee Preta....hujambo lakini? umenisahau kabisa huko Yaeda chini ntafutie japo kaswala kadogooo

sijakusahau bana.....tuswala tumeisha....tumebaki tule twingine tufupifupi.....njoo twende hapa......hutajutia....

index.jpeg
 
Tunawasubiri waliopitia watu madata, wengine ni ndoto mpaka sasa, all relations i had ni kero tu, sitaki hata kuzikumbuka.
Hata mimi nakuunga mkono kabisa Remmy, yaani akyanani mimi sijawaiona hizi kitu, hata kukumbuka nyuma au sasa sitakagi kabisa!
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom