'Special for Africa' products

jamani siku hizi ukienda kariakoo kwenye maduka ya simu............wameandika kabisa hapa ''used'' na hapa ''new'' sijui kama nim haki kweli kwa mtu kwenda kununua pale......kwani hatuna ujuzi wa kujua kipi feki na kipi orijino au used.................
All the times, hunisikilizi tu! LOL
 
Back
Top Bottom