Speaker, Waziri Mkuu wamelidanganya Bunge; La sivyo walete ushahidi

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,023
18,563
Speaker amekuwa mstari wa mbele kutaka wabunge wachukuliwe hatua au kuwasalisha ushahidi kwa kile kinachodaiwa kulidanganya Bunge. Ni kwa nini hadi sasa Wabunge hawajatumia dawa hiyo hiyo kuwawajibisha Speaker na Waziri Mkuu? Wanatakiwa wawakilishe ushahidi kwamba Raisi alitia sahihi kukubali nyongeza ya posho za wabunge, na wakishindwa wawajibishwe kwa kulidanganya Bunge! Sheria ni msumeno.
 
Nikweli, lakini hiyo kanuni ya sheria ni msumeno haijafika Ta.nza.nia. Kwa sasa inatumika ile nzuri nyingine ya mnyonge mnyongeni!
 
Nikweli, lakini hiyo kanuni ya sheria ni msumeno haijafika Ta.nza.nia. Kwa sasa inatumika ile nzuri nyingine ya mnyonge mnyongeni!

Hii sheria tayari imefika Ta.nza.nia kimaandishi, ila inafanya kazi kwa kuwabana WAPINZANI tu. Sijui tuwe na imani na muhimili upi sasa.
 
Pale ilikuwa kumdhalilisha Pinda na Spika. Spika anasema kuwa posho ishalipwa. JK anapenda cheap popularity na kuwadhalilisha wenzake ili mumuone yeye ni msafi. Ngoja baada ya kuondoka madarakani 2015, tutajua mengi yake. Haiwezekani kabisa viongozi wakuu wawili wa nchi WM na Spika wakubali kuwa imeidhinishwa alafu Ikulu ikatae. Huenda labda akiidhinisha kurugenzi ya mawasiliano ilikuwa haina muwakilishi. Very divided government. Leave faster leave faster we are tired with this government
 
mnataka pinda alie tena

Kwa jinsi Serikali isivyo wajibika, Primer ataonyesha sura ya huruma kama kawaida yake anapodanganya ili watu wasadiki uongo wake. hopeless kabisa hatuna serikali.
 
Huyu PM kulinda hadhi yake ajiuzulu tuu akifuatiwa na Speaker mashamba ya viazi njombe yanamngoja
 
Speaker amekuwa mstari wa mbele kutaka wabunge wachukuliwe hatua au kuwasalisha ushahidi kwa kile kinachodaiwa kulidanganya Bunge. Ni kwa nini hadi sasa Wabunge hawajatumia dawa hiyo hiyo kuwawajibisha Speaker na Waziri Mkuu? Wanatakiwa wawakilishe ushahidi kwamba Raisi alitia sahihi kukubali nyongeza ya posho za wabunge, na wakishindwa wawajibishwe kwa kulidanganya Bunge! Sheria ni msumeno.
Mkuu umenena sawia. Spika yupo Dar huenda kuna kuna kitu kinaendelea. Tusubiri haya mambo mawili huenda yakawa na mshindo. Yasipokuwa na mshindo nitashangaa vya kutosha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom