Speak English!!!!

Bundewe

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
400
141
Mshikaji mmoja alikuwa na dingi wake, akamwona demu wake anakuja, bahati mbaya dingi alikuwa mkali sana na mazungumzo yao yalikuwa hivi...
MSHIKAJ: Umekuja kuchukua kile kitabu cha speak english my father doesn't know?
DEMU: Yeah, na kile cha where should l wait u?
MSHKAJ: Dah! hicho hakipo labda kile cha wait me under the coconut tree!
DEMU: Sawa ucsahau kile cha I give u 5 minutes. MSHIKAJ: Yeah, nit...akupa pia na kile cha I wont let you down.
DING: mbona vingi sana atavisoma vyote?
MSHIKAJ: Aaah, huyu dada anasoma sana vitabu na ndo anatuongoza Darasan.
DING: Mpe basi na kile cha I am not that much stupid..
 
Watoto walijidai wanamzidi dingi maujanja, sijui kwa nini hawakukumbuka dingi alianzia huko long time kitambo. Da kwa kweli umeifanya j.mosi yangu kuwa nzuri, nimecheka mpaka basi.
 
dingi wa ukweeeeeeeeee, asante mkuu mwanzo nilijua ni kile kinachishia na dingi kuwa bwe*e
 
Chalii alisahau kwamba wakati 'anaenda dingi anarudi' teh teh teh..
 
hahahaaaa, kweli usijifanye mjanja mbele ya mzazi. Kwani anajua mwanzo wako lakini wewe hujui mwanzo wake.
 
Mshikaji mmoja alikuwa na dingi wake, akamwona demu wake anakuja, bahati mbaya dingi alikuwa mkali sana na mazungumzo yao yalikuwa hivi...
MSHIKAJ: Umekuja kuchukua kile kitabu cha speak english my father doesn't know?
DEMU: Yeah, na kile cha where should l wait u?
MSHKAJ: Dah! hicho hakipo labda kile cha wait me under the coconut tree!
DEMU: Sawa ucsahau kile cha I give u 5 minutes. MSHIKAJ: Yeah, nit...akupa pia na kile cha I wont let you down.
DING: mbona vingi sana atavisoma vyote?
MSHIKAJ: Aaah, huyu dada anasoma sana vitabu na ndo anatuongoza Darasan.
DING: Mpe basi na kile cha I am not that much stupid..

Hili ndilo tatizo la ku-under rate baadae unaonekana wewe mwenyewe bogus.
 
Mshikaji mmoja alikuwa na dingi wake, akamwona demu wake anakuja, bahati mbaya dingi alikuwa mkali sana na mazungumzo yao yalikuwa hivi...
MSHIKAJ: Umekuja kuchukua kile kitabu cha speak english my father doesn't know?
DEMU: Yeah, na kile cha where should l wait u?
MSHKAJ: Dah! hicho hakipo labda kile cha wait me under the coconut tree!
DEMU: Sawa ucsahau kile cha I give u 5 minutes. MSHIKAJ: Yeah, nit...akupa pia na kile cha I wont let you down.
DING: mbona vingi sana atavisoma vyote?
MSHIKAJ: Aaah, huyu dada anasoma sana vitabu na ndo anatuongoza Darasan.
DING: Mpe basi na kile cha I am not that much stupid..

aaaahahahahaaahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aseee yani umefanya familia yetu yote imecheka....!
 
inaelekea baada ya hapo palichimbika kinyama..! manake dingi lilikua linausikiliza mchezo wote..! daah hii ni balaa asee..!
 
Back
Top Bottom