Spea za kompyuta/laptops

Damson88

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
259
24
Kama unahitaji display za laptop size zote(10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) na aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri zake na spea nyingine za laptop, Nitafute kwa Whatsapp au kawaida 0713218388 popote ulipo. Bei ni za kawaida mno. Karibuni!
 
battery ya compaq 610.. Inayokaa na charge from abt 3:30hrs sente ngapi??
 
nahitaji RAM ya laptop HP-COMPAQ nx0910 (DDR1 either 512MB or 1GB ) nitapata kwa sh ngapi? naomba bei kwa kila size hizo! gb
 
Kama unahitaji display za laptop size zote(10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) na aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri zake na spea nyingine za laptop, Nitafute kwa Whatsapp au kawaida 0713218388 popote ulipo. Bei ni za kawaida mno. Karibuni!

adapter ya fujitsu siemen bei gani? Naweza kwa buku 20??? Coz hzi adaptor za fujitsu are very old
 
U OLD wake unaifanya iwe ya gharama kwa kuwa ni adimu, hivyo bei yake ni ya kawaida kama adapta nyingine.
 
Betri ya Toshiba Satellite U305-S2806 inayoweza kuhifadhi charge kwa masaa 3 au zaidi ni bei gani?
 
Sh. 90000 tu
Kutunza chaji inategemea na matumizi au laptop yenyewe inakuwa inafanya nini, vitu kama brightness, usb drives e.g external HDD, CD/DVD ROM ndo vinatumia chaji nyingi.
 
Back
Top Bottom