Spare za Hyundai na Honda

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Wakuu,

Naona bei za magari ya Toyota siku hizi zimepanda bei huku UK sasa nafikiria kununua walau Hyundai au Honda naona afadhali kidogo. Je spare za Hyundai na Honda zinapatikana Dar jamani? Noamba ushauri hapa.

Thanks.
 
Chief hiv ulishawah kupata jibu la swali lako hili?! Hasa kwenye hyundai hapo?!
 
Hyundai usijidanganye babu hata ukipata ajari ukiwa na bima kubwa hupati gereji na ukiipeleka kwa wakala wa hyundai bei yake mtashindwana na bima naongea hivyo kwa hua nilikua na Santa fee nikapiga nayo mzinga imenisumbua mwaka mzima kupata Spea ilibidi kuwatumia vijana wa kibongo mafundi pale hyundai wakawa wanaiba Spea kidogo kidogo wanafunga tukagawana nao pesa niliyolipwa na bima gari ilivyopona tu nilitafuta mteja fasta sitaki tena kusikia hyundai upuuzi mtupu ukiwa nayo tz,sikushauri
 
Pole sana chief! Kweli hyo ni experience mbaya. Lakin kwa ujumla wake unaonaje ubora wake....ukiachana na issues za spear parts.
 
Hyundai usijidanganye babu hata ukipata ajari ukiwa na bima kubwa hupati gereji na ukiipeleka kwa wakala wa hyundai bei yake mtashindwana na bima naongea hivyo kwa hua nilikua na Santa fee nikapiga nayo mzinga imenisumbua mwaka mzima kupata Spea ilibidi kuwatumia vijana wa kibongo mafundi pale hyundai wakawa wanaiba Spea kidogo kidogo wanafunga tukagawana nao pesa niliyolipwa na bima gari ilivyopona tu nilitafuta mteja fasta sitaki tena kusikia hyundai upuuzi mtupu ukiwa nayo tz,sikushauri
Mkuu salaam naomba kujua juu ya huimara wa hii gari kwa kweli nimeipenda, hasa kwa kuwa ni Diesel embu nipe uzoefu wako.
 
Back
Top Bottom