Spare Part ya Duet

Cherrylicious

Member
Dec 1, 2010
37
2
Wadau salaams,
Natafuta engine mounting ya Toyota duet,...anayejua nitapata wapi anijuze tafadhali

Shukran
 
Wadau salaams,
Natafuta engine mounting ya Toyota duet,...anayejua nitapata wapi anijuze tafadhali

Shukran
Dada nimecheka sana avatar yako.

kuna watu waliniambia spear zake ni ngumu sana kupatikana, ila waweza jaribu pale ilala kwenye ma used parts
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom