Spam jamani??

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Wakuu leo nimepokea email ifuatayo

How are you my dear,
40.gif

I am very happy meeting at jamiiforums.com, I would have written to you early, but I could not write because of bad connection here. I have a lot of things to discus with you, don't ignore this mail, please try to write back as soon as you read this mail. Thanks, from berry


Ila ukiifuatilia kwa undani utagundua kuwa ni sparm kwa mambo mawili
1.Mtumaji ametumia ushawishi mno kwenye email(my dear,viua,happyhapy nk,maneno mengi ni ngumu kutumika kwa mtu asiyekufahamu au kukujua)

2.&#21457;&#20214;&#20154;(mtumaji)&#65306;berry fredrick <niceet4u221@yahoo.com> &#26102; &#38388;(muda)&#65306;2010&#24180;4&#26376;29&#26085;(&#26143;&#26399;&#22235;) &#26202;&#19978;11:15 &#25910;&#20214;&#20154;(&#65306;
niceet4u221 niceet4u221@yahoo.com (mpokeaji)

Ukiangalia utagundua mtumaji na mpokeaji nu toka the same address ambayo ni moja kati ya sparm rule.pia ukiangalia header unakuta jamaa amezunguka balaa,
Hivyo nawashauri uongozi mzima wa JF uangalie jinsi ya kupambana na Spams.




Kilongwe http://www.afroit.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom