Sovereign bond option

WA MAMNDENII

JF-Expert Member
Jun 5, 2010
344
57
tanzania is planning to raise a big amount of money thru issuing of sovereign bond to international market according to report made by finance minister but official from WB
warned tanzania not to go ahead with the plan as he claimed it is very costly. hapo mimi ndo nimekwam sijui hilo zoez la ku-issue hizo bond linafanyikaje, faida na hasara yake. kwanini eti hiki kijibenki kinachojiita cha ulimwengu kinaiwekea 'inji' hii kauzibe au ni kusimamia utaratibu wao wa kutukopesha kwa masharti magumu na kutupangia namna ya kutumia mkopo wao? wachumi nisaidieni
 
Hatujazuuliwa kuissue Eurobond na nadhani WB haina uwezo wa kutuzuia kukopa nje ya nchi. WB imetahadharisha ya kwamba borrowing from local banks ni hatari kwani faida ni ndogo kuliko hasara zake. Kukopa kunaweza kustimulate credit market na ni njia rahisi ya kufudia liquidity crisis Serikali ya Tanzania. Hasara yake ni kwamba inaweza kuongeza rates, concentration ya credit (kwasababu mabenki yataprefer kukopesha serikali kwakuwa ina risk ndogo ukicompare na wateja wengine), na vilevile mzigo wa kulipa mkopo.

Nadhani ni njia nzuri kwa serikali kuissue bond ukicompare kwenda kukopa from the local banks.
 
Kwa uelewa wangu, kuna njia mbili za kuweza kukabiliana na deficit kwenye budget ya nchi; moja wapo ni kuongeza mapato ili kifidia hayo mapungufu na hiyo ndio kama hivyo nchi inaweza kukopa ndani au nje ya nchi na njia hizi zote zina athari na faida zake. Njia ya pili ya kukabiliana na mapungufu ni kupunguza matumizi ili yalingane na rasilimali tulizonazo ; hii njia ya pili ni more plausible kwa Tanzania kwasababu kuna matumizi mabaya mengi katika serikali na taasisi zetu ambayo yanaweza kuthibitiwa ili kubalance budget yetu. Kuthibitisha kuwa kuna matumizi mapaya ya rasilimali zetu; achilia safari zisizo na tija za viongozi na ununuzi wa magari ya fahari, lakini pia kuna swala la fedha nyingi kwenda kwenye halmashauri lakini hata hivyo shule hazina vitabu wala madawati, zahanati hazina dawa na barabara za vijijini hazipitiki ingawa kuna allocation kubwa sana katika budget!! Ninahakika badala ya nchi kwenda kukopa nje au kwa commercial banks ,budget yetu inaweza kuwa balanced kwa kuthibiti matumizi ya serikali iwapo viongozi watakuwa realistic na kuachana na utashi wa kisiasa!!
 
Ningependa kupigia mstari njia ya pili; “Serikali ingekuwa inafanya matumizi yake kwa kuzingatia hali ya uchumi kama inavyofanya kwenye mishahara ya wafanyakazi kwa kuwalipa mishahara isiyotosheleza mahitaji muhimu ya maisha, basi ingeweza kubana matumizi kwa kiasi kikubwa kwa kununua magari madogo ya kawaida na kuweza kuokoa mabilioni ya fedha na kupunguza budget deficit sambamba na kuboresha hali ya maisha ya wananchi wake. Serikali inapaswa kupunguza misafara mikubwa ya viongozi ndani na nje nchi, ambayo hutumia gharama kubwa.Hii inaweza kuwa ni hatua ya haraka ya kuchuku (short term) wakati mipango mingine madhubuti ya kukuza uchumi ikifanyika sambamba na juhudi za kupunguza UFISADI na hivyo kupelekea kuongezeka kwa pato la taifa.
 
utekelezaji wa mipango yenye tija utafanyika tu pale tukapopata viongozi wazalendo wa kweli vinginevyo hiyo mikopo itaishia kunufaisha hao hao ambao kila siku wanatuzuga na mikakati, michakato ya maendeleo lakini nothing kwa mtanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom