Souvenir

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,510
Kuna baadhi ya watu wanaopenda kubakia na vitu vya wenzi wao ikiwa kama hao wenzi wao hawaishi nao. Eti vitu hivi huwa vinawakumbusha kuhusu hao wenzi wao na huko waliko

Sasa kitu ambacho nimesikia kwa sasa kutoka kwa watu mbalimbali ni kwamba wanaume ndio wanaopenda kubakia na hizo nguo za ndani (underwear) za mwanamke wanaye "do" naye.

Nashindwa kuelewa kwa nini mtu abakie na chupi ya mtu mwingine kama ukumbusho. Wengine hupendelea kubakia na sidiria, gagulo, na kuna wanaopenda kubaki na mikufu, kitambaa cha kichwani, hadi viatu na pete.

Wadau vipi yameshawakuta na ninyi haya?
 
hahahaha kwa kweli kufikia kuvaa chupi ya mkeo lazima upstairs kuwe na uwalakini......

The Following User Says Thank You to Kimey For This Useful Post:

Asprin (Today)

:confused2::confused2::confused2:
 
Mie ni mgonjwa souvenir! Chochote kitakachonifaa ama kitakachomfaa toka kwangu wakati wowote! Sichagui..........ila aisee kuna kasheshe Picha ya mke wa mtu ilikutwa mtaani.........Serengeti boy kapewa kama ukumbusho! Si mchezo haya mambo!
 
Kuna rafki yangu huwa anapenda kubaki na nguo ya ndani ya mpenzi wake na kila anapom'miss huwa anainusa ile nguo.
Hujiskia burudaani.
kha!
 
humu JF kweli kuna magreat thinker, 'Asprin and kimey' u made day gays
 
Kuna baadhi ya watu wanaopenda kubakia na vitu vya wenzi wao ikiwa kama hao wenzi wao hawaishi nao. Eti vitu hivi huwa vinawakumbusha kuhusu hao wenzi wao na huko waliko

Sasa kitu ambacho nimesikia kwa sasa kutoka kwa watu mbalimbali ni kwamba wanaume ndio wanaopenda kubakia na hizo nguo za ndani (underwear) za mwanamke wanaye "do" naye.

Nashindwa kuelewa kwa nini mtu abakie na chupi ya mtu mwingine kama ukumbusho. Wengine hupendelea kubakia na sidiria, gagulo, na kuna wanaopenda kubaki na mikufu, kitambaa cha kichwani, hadi viatu na pete.

Wadau vipi yameshawakuta na ninyi haya?

mara kadhaa tu... ila nickers is ze best!!!
 
ina maana wewe na jamaa yako wote mmepigwa pasi au wote imejaliwa fahari ya waafrica.ndo inaendana sawa
 
Kuna baadhi ya watu wanaopenda kubakia na vitu vya wenzi wao ikiwa kama hao wenzi wao hawaishi nao. Eti vitu hivi huwa vinawakumbusha kuhusu hao wenzi wao na huko waliko

Sasa kitu ambacho nimesikia kwa sasa kutoka kwa watu mbalimbali ni kwamba wanaume ndio wanaopenda kubakia na hizo nguo za ndani (underwear) za mwanamke wanaye "do" naye.

Nashindwa kuelewa kwa nini mtu abakie na chupi ya mtu mwingine kama ukumbusho. Wengine hupendelea kubakia na sidiria, gagulo, na kuna wanaopenda kubaki na mikufu, kitambaa cha kichwani, hadi viatu na pete.

Wadau vipi yameshawakuta na ninyi haya?

Mara kibao mbona. Talk of souvenir NN, dont you have something that should belong to me since looooooong time ago???
 
Kuna rafki yangu huwa anapenda kubaki na nguo ya ndani ya mpenzi wake na kila anapom'miss huwa anainusa ile nguo.
Hujiskia burudaani.
kha!

miaka hiyo nikitongoza..... ili kujihakikishia demu kakubali na atakuja, aliniachia upand wa khanga... na ili kutunishia msuli masela kuwa nshamega, basi wakintembelewa gheto wanakuta nimetundika 'kufuli'!!!... luvly crazy, old days!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom