South sudan

Darwin

JF-Expert Member
May 14, 2008
908
56
Ni kwavile wana mafuta?
Kenya nao wanaanza kuinyemelea. 167694_191760620840815_191758700841007_802781_5873940_n.jpg
 
KIdundulima hujaelewa maana ya thread.
Me nimesema wanataka uhuru wao lakini Kenya nao kuona ni nchi yenye mafuta wanataka kuingiza ukaburu.
Angalia bendera ya Kenya na bendera wanayotaka kuiweka SS
 
haya nimekuelewa Darwin. Ukweli ni kuwa walitendewa wema na wakenya kuliko Nchi nyingine yoyote. Kumbuka mzigo wa wakimbizi na namna kenya ilivyowasomesha
 
Back
Top Bottom