South Sudan independence photos

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,747
Wish you all the best, Africa's youngest nation. The dream of our founding fathers seems opposite to you though. But the course you have chosen, we hope is for the best of all possible parties. Lest your wish and desire to stand on your own feet spread to your neighbors. But if it be for the betterment of the nationals, let it happen; whenever, wherever.



photo_1310127470577-1-0.jpg





article-2012490-0CEFA63400000578-291_634x438.jpg



126496-south-sudan-8-of-10.jpg





126495-south-sudan-7-of-10.jpg




126492-south-sudan-4-of-10.jpg



126498-south-sudan-10-of-10.jpg





a6aee76b48e1a7adce72b0da80f8.jpeg



501237b54c65a6e998773e4b2a0c.jpeg



127565-south-sudan-newest-nation.jpg




south-sudan-readies-for-independence-day-2011-07-08_l.jpg



profimedia-0088679583.jpg
 
Hongera zao......hatimaye wamejikomboa......lakini kuuliza sio ujinga....Darfur imebakia wapi?
 
na sisi tunasubiri uhuru wetu kwa hamu kutoka mikononi mwa wezi na wanyanyasaji magamba.
 
Sasa kiporo ni jimbo la Abyei, lile lenye utajiri wa kutupa wa mafuta


images
 
Darfur iko sudan kusini dada, halafu nimekupenda ghafla dada tunaweza kuwasiliana?

Asante kwa kunielimisha....hata mimi nimekupenda sana Yutong........usijali wanaokutishatisha
 
Darfur haiko south sudan wandugu. ni jimbo la sudan ya kaskazini ya omar el bashir ina visehemu vitatu vinavyounda jimbo la darfur,, sector south (nyala), sector west (el geneina) na sector north (el fasher). iko hofu kwamba nao baada ya hili la southern sudan watataka kujitenga kutoka serikali ya khartoum japo factions zilizokuwa zinakinzana kule SLA-mini minawi, SLA- abdul waheed, SLA- historical, JEM na zinginezo walitiliana saini na serikali ya sasa ya khartoum ku cease fire.
 
Hongera zao......hatimaye wamejikomboa......lakini kuuliza sio ujinga....Darfur imebakia wapi?

Preta
Darfur ipo mangaribi, na wenyeji wa huko ni Waislam ila tatizo lao ni WAISLAM WEUSI, NDO MAANA HAWA WAARABU wanawabagua wakajionea njia sahihi ni kubeba silaha na kuanza kupigana dhidi ya udhalimu wa hawa waarabu.

Kusini mwa Sudan kunakaliwa na watu weusi TII, hawa jamaa wengi wao ni wakristu na wengine hawana DINI KABISA walianza kupigana kupinga udhalimu wa waarabu kutoka North tangu miaka ya sabini, Hawa Waarabu ni ndugu zetu na tunafuata Dini yao lakini walichowafanyia hawa jamaa wa kusini mwa Sudani naamini huyu Mungu wa Ibrahim na Isaka anayajua, huwezi amini mpaka miaka ya karibuni walikuwa wanawachukua watu kutoka Kusini mwa Sudani kama Slaves, na wanawaona kama sio binadamu kabisa.
 
Preta
Darfur ipo mangaribi, na wenyeji wa huko ni Waislam ila tatizo lao ni WAISLAM WEUSI, NDO MAANA HAWA WAARABU wanawabagua wakajionea njia sahihi ni kubeba silaha na kuanza kupigana dhidi ya udhalimu wa hawa waarabu.

Kusini mwa Sudan kunakaliwa na watu weusi TII, hawa jamaa wengi wao ni wakristu na wengine hawana DINI KABISA walianza kupigana kupinga udhalimu wa waarabu kutoka North tangu miaka ya sabini, Hawa Waarabu ni ndugu zetu na tunafuata Dini yao lakini walichowafanyia hawa jamaa wa kusini mwa Sudani naamini huyu Mungu wa Ibrahim na Isaka anayajua, huwezi amini mpaka miaka ya karibuni walikuwa wanawachukua watu kutoka Kusini mwa Sudani kama Slaves, na wanawaona kama sio binadamu kabisa.

Asante kwa kunifafanulia kwa undani jambo hili....ki ukweli naweza kukiri kuwa ni uvivu wa kufuatilia lakini nimefurahi sana hawa jamaa kupata uhuru......nimekuwa nikikutana nao wengi wao Kenya na kuwahurumia jinsi ambavyo unaweza kufeel kuwa mkimbizi katika nchi yako.......sasa kingine.....mbona Kenya imekuwa mstari wa mbele sana katika ukombozi wao....nikinyanyua ramani yangu naona Kenya ndio imepakana nao kwa kiasi kidogo sana ukilinganisha na Uganda, DRC, CAR na hata Ethiopia....nini Kenya inataka hapa......
 
Preta
Darfur ipo mangaribi, na wenyeji wa huko ni Waislam ila tatizo lao ni WAISLAM WEUSI, NDO MAANA HAWA WAARABU wanawabagua wakajionea njia sahihi ni kubeba silaha na kuanza kupigana dhidi ya udhalimu wa hawa waarabu.

Kusini mwa Sudan kunakaliwa na watu weusi TII, hawa jamaa wengi wao ni wakristu na wengine hawana DINI KABISA walianza kupigana kupinga udhalimu wa waarabu kutoka North tangu miaka ya sabini, Hawa Waarabu ni ndugu zetu na tunafuata Dini yao lakini walichowafanyia hawa jamaa wa kusini mwa Sudani naamini huyu Mungu wa Ibrahim na Isaka anayajua, huwezi amini mpaka miaka ya karibuni walikuwa wanawachukua watu kutoka Kusini mwa Sudani kama Slaves, na wanawaona kama sio binadamu kabisa.

Hata mi nilijua Darfur iko kusini lakini nilipotazama ramani nikagundua kumbe sio. basi Sudan bado haijatulia kama darfur nayo si sehemu ya muafaka huu wa leo. sasa kuna Darfur na Abyei
 
[h=1]Relations between South Sudan and Kenya, vital - Kiir[/h]
[h=4]February 20, 2011 (ABYEI) - Salva Kiir Mayardit, the president of soon-to-be independent South Sudan has said that there is huge potential for joint ventures between the oil-producing region and the neighboring Kenya considering the country’s experience in trade and investment.[/h]
21 February 2011

Moi-South%20Sudan-Referendum.jpg

Former President of Kenya Daniel Arap Moi while on visit to S.Sudan late last year. [Photo - file]
The South Sudan president hopes the two governments will explore more avenues to boost interaction both at the political and economic levels for their mutual benefit, as the region approaches independence in July.
Speaking to Sudan Tribune from the regional capital Juba on Sunday, a presidential aide, who did not want to be named, said the president Kiir made the remark while talking to the Kenyan Vice-President Kalonzo Musyoka on Friday.
While receiving congratulatory message of the Kenyan President Mwai Kibaki delivered by his Vice President Musyoka, the aide quoted president Kiir as saying: "We would not be where we are today, without the support of Kenya. I welcomed you and your accompanying delegation to Juba. So feel at home and I am happy you have come to witness the results of a long and difficult journey that took 13 years to negotiate".
Kenya hosted peace talks between North and South Sudan, which ended over two-decades of civil war. Many leaders of the Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) were based in Kenya during the conflict.
"You know how this process began in 1993 culminating in the signing of the CPA (Comprehensive Peace Agreement) in Nairobi in 2005. Essentially, this is your baby and we are glad that you played your role together with other Kenyans and people from different parts of the world to see to it that we succeed," said president Kiir.
Kiir briefed the Kenyan delegation on the various challenges facing the nascent region, which include developing a strong human resource base, infrastructural development and the intention of his administration to continue to strengthen relations through bilateral mechanisms, in line with the framework of co-operation.
Many of the four million South Sudanese displaced during the civil war fled to Kenya, as well as other neighbouring countries and the North of Sudan.
He said the decision made by the Kenyan government to send such a high level delegation led by Vice President to the region will improve business links. "This affirms the bilateral ties that existed between the Kenyan government and people. These ties needs to be continued and extended into development of a strong Partnership based on mutual respect and shared values," he said.
Kiir said South Sudan has great potential for foreign investment, which is why his government is reviewing the interim constitution to make region more investor-friendly.
"My government seeks close co-operation with relevant authorities in your country to enhance co-operation and potential investment," said Kiir, adding that Kenya is widely accepted as a bridge between the Eastern African community and the rest of the world.
“It is my belief, however, that this bridge of friendship extends far beyond these two regions as has been demonstrated by your engagement in peaceful settlement of the conflict in Sudan, and more especially in the opening of Consulate and establishments of cooperatives in South Sudan immediately after the signing of the Comprehensive Peace Agreement in several African" countries.
On his part, the Kenyan Vice-President Kalonzo Musyoka who was speaking in the office of South Sudan President, in the presence of a high-level government delegation to formally endorse the referendum results and welcome the new state in a meeting, said his country wants the leaders of North and South Sudan to work closely to consolidate peace, sort out resource sharing and agree on border issues in the post-referendum period.
He also pledged an additional 400 million Kenyan Shillings (nearly $5 million) towards capacity building in South Sudan.
The package entails the seconding of 80 top-notch public servants to the new state for a period of three years. He paid a glowing tribute to the people of South Sudan for conducting a peaceful referendum.
"The grand coalition government in Kenya is happy with the way you conducted the exercise. It is a testimony that Africans can peacefully and successfully manage delicate transitions," said Musyoka in a televised statement on South Sudan Television on Friday shortly after meeting South Sudan President Salva Kiir Mayardit.
Musyoka further commended Sudanese president Omer Hassan Al-Bashir for supporting the referendum and finally endorsing the new state. ”What is remaining now is for both the leadership of the South and that of the North to work together in a peaceful atmosphere towards propelling the now two neighboring states forward,” he said.
He expressed optimism that the East African Community would be keen to welcome the new state. Kenya’s public service minister Dalmas Otieno said his country was determined to assist the people of South Sudan quickly get their civil service “up and running”.
On bilateral trade, Minister Chirau Ali Mwakwere said Kenya was focusing on three key areas — boosting of cross-border trade, enhancing manufacturing capability and the implementation of infrastructural networks linking Kenya and South Sudan.
 
Hongera zao......hatimaye wamejikomboa......lakini kuuliza sio ujinga....Darfur imebakia wapi?

Kujikomboa ni relative term, inategemea uko upande gani wa shilingi, je mataifa makubwa kama China na USA wataiacha salama na mafuta yao?
 
Kujikomboa ni relative term, inategemea uko upande gani wa shilingi, je mataifa makubwa kama China na USA wataiacha salama na mafuta yao?

Hilo ndio tatizo......nimeona viongozi wengi wa nchi mbalimbali wakimiminika huko.....sidhani kama kuna usalama kwenye rasilimali zao......tutaona
 
Hata wapo wenye majuna ya akina Mnubi asili yao ni huko hata Jaluos asilia yao ni huko hapa bongo wapo wengi huko Mwanza hata hapa dar pale maeneo ya Makumbusho kuna akina dada fulani ni weusi TII na wembaba warefu nao ni wa huko,jirani zetu Wakenya wamewahifadhi watu wa Sudani Kusini wengi wapo Kenya vizazi kwa vizazi wengi walikuwa vibarua wa ujenzi wa erli na wengine walikimbia vita ya wenyewe kwa wenyewe hata Marehemu John Garang aliishi miaka mingi Kenya pale Kibera wamejaa tele,ni wapiga kura wa ndugu yao Tinga.Pia Wakenya ndio wageni waliojaa huko Sudani Kusini wakichangamukia fursa ,kuna hata benki za Kenya huko,maisha yako juu sana na hali ya hewa ni joto kali kama vile uarabuni,wenyeji wengi ni masikini wa kutupwa(malofa)
 
Ila hawa jamaa ni weusi kweli kweli! utafikiri mkaa... anyway kina kaka na kina dada mnaopenda vyeusi mangala changamkieni fursa hizo!
 
We hujui weusi ndo wenye raha we unafikir kwanin kina bill gates hawachelew kutembelea afrika
 
Back
Top Bottom