South Africa yafuta VISA kwa Watazania

If this is case I assume vice versa is also true??? i.e south africans wont need VISA coming to tanzania? So ..... ..

Mtazamaji, na mimi nilikuwa nawaza hayohayo. Watu wanafurahia upuuzi tu hapa....
jamaa wameshapiga hesabu, hatuna uwezo kuwekeza kwao, ila wao wanahitaji sana kuja kwetu ili wawekeze. Sasa njia ya kufanya ni nini? ni kutupa free entrace wikitegemea the same. CC tunafurahia ati hatuhitaji VISA kwenda S.A. Hapo ni maumivu kwetu, na hao jamaa walivyo wabaguzi hata weusi, mnakumbuka ni majuzi watanzania walichomwa moto na kupigwa kinyama, sasa sijui mtanzania gani anayejipenda ataenda huko. CC wao wakija tunawakimbilia na kuwapa na kazi za watanzania kwa maslahi makubwa :sad:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom