South Africa: It's Zuma!

Picha hii ilipigwa baada ya Zuma kumbwaga Mbeki
MbekiandZuma2.jpg
 
Yaani jamaa bado anaendelea kusiha mbegu? Hapo ipo kazi!

I applaud ANC's democratic credentials. Vipi, 'sister party' (CCM) hawakuwepo hapo? Nina hakika walialikwa hawa kwenye kikao kizito kama hicho hawakosi.

Mafisadi wa CCM hata kama walikuwepo, hawawezi kuruhusu democracy kiasi hichi watafukuzwa watu uanachama kwa kutaka 'kuharibu hali ya hewa' ili waendeleze ufisadi wao. Unaona jinsi walivyomnyamazisha Butiku kuhusiana na maovu mengi aliyoyasema ndani ya chama. Hakupata support yoyote ndani ya chama. Pamoja na madhambi mengi aliyoyafanya Mkapa, Muungwana alisema 'mwacheni mzee wetu astaafu kwa amani' hakuna aliyetoa sauti ndani ya chama. Hata Mkapa alipotaamka 'niacheni nimeshastaafu' hakuna hata aliyeguna ndni ya chama pamoja na madudu yote aliyoyafanya. Kinachonitia imani ni kwamba Watanzania wameanza kuamka hivyo ufisadi, ula rushwa na uroho wa utajiti wa haraka haraka kupitia nyadhifa zao, dawa yako iko jikoni na si muda mrefu watakiona cha moto. Wengi wao wana wasi wasi wa hali juu.
 
Naomba nikusahihishe: Soma hapa chini: By the way aliyeshindwa umakamu wa Raisi wa ANC alikuwa mkewe, kwa sasa wameachana.

"Mr Zuma has recognised at least 18 children from four “official” wives and several girlfriends. Two children have been born since his acquittal in a notorious rape trial last year".

http://www.timesonline.co.uk/tol/news/world/africa/article3070220.ece
http://www.iol.za.org/index.php?set_id=1&click_id=13&art_id=ct1999070610002266S340917

Duh huyu anazaa kama vile ametumwa! Ila kwa mtu bosi kama huyu ukiwa unafanya ngono bila condom uwezekano wa "kupakaziwa" watoto pia ni mkubwa, maana kuna kina mama wanaweka mbele "mafao" kwa gharama yoyote. Na ukiwa "arosto", hata mwanamke uliyezaa naye hata kama alikuwa mkeo anaweza "kukupora" watoto, ili kuwaepushia laana la kuwa na baba ambaye ni "dwanzi", kama inavyoonekana hii kesi hapa ya "bishop" Margaret Wanjiru http://allafrica.com/stories/200701171540.html

Tumshauri huyu mkuu awe anatumia japo condom jamani, yaani kama anaamini kuwa "kuoga" ati kunaweza kuondosha virusi vya ukimwi baada ya ku-dip kwenye virusi! Tena huko SA ambako takwimu zinatisha! Yuko salama kweli huyu jamaa? Nina mashaka sana.
 
Kweli watu wakishakuchoka hata upangwe na KIVULI kama ilivyokuwa Tanzania awamu za kwanza; kivuli kitashinda babaake!!!
 
Zuma wins ANC leadership election

Mr Zuma embraced Mr Mbeki after the result was announced


Profile of Jacob Zuma
Jacob Zuma has defeated South Africa's President Thabo Mbeki to win the leadership of the country's ruling ANC.
Mr Zuma won the votes of more than 60% of the delegates at the leadership conference to claim victory.

The result follows two days of bitter debate, during which President Mbeki was heckled by supporters of Mr Zuma.

Correspondents say that Mr Zuma will now become the frontrunner to take over as president when Mr Mbeki is obliged to stand down in 2009.

Of the 3,834 voting delegates, Mr Zuma received 2,329 to Mr Mbeki's 1,505.

Mr Zuma and his supporters also won a clean sweep of five other top positions in the ANC.

Corruption cloud

The announcement of the result was greeted with chants of "Zuma, Zuma".

LEADERSHIP RIVALS
Thabo Mbeki, 65
Succeeded Nelson Mandela as president in 1999
Presided over economic growth
Accused of not doing enough to reduce poverty
Won bid to host 2010 football World Cup
Seen as aloof
From Xhosa ethnic group
Jacob Zuma, 65
Played key role in fight against apartheid
Plagued by corruption allegations
Backed by trade unions, Communist Party
Seen as charismatic
From Zulu ethnic group


Mbeki: Born into struggle
Zuma: Comeback kid
Vote in pictures

Before leaving the platform, Mr Mbeki embraced Mr Zuma and clasped his rival's hand in congratulation.

The BBC's Peter Greste at the conference says the public show of unity was a powerful signal to the rank and file that they needed to heal the rift and get on with the business of running the country.

But the real question is whether Mr Zuma can deliver on that promise of unity and continuity, our correspondent adds.

Although he is strongly placed to become the next national president he could still face corruption charges in connection with a multi-million dollar arms deal.

Should Mr Zuma find himself back in court, the position of the deputy party leader is likely to prove crucial.

The contest for deputy was won by Kgalema Motlanthe, previously ANC secretary general and seen as close to Mr Zuma.

Divisive contest

Correspondents say it has been the most divisive contest in the long history of the ANC - for some this is a sign of a healthy democracy in action while others fear the split in the ANC could spell trouble for South Africa.
 
Mafisadi wa CCM hata kama walikuwepo, hawawezi kuruhusu democracy kiasi hichi watafukuzwa watu uanachama kwa kutaka 'kuharibu hali ya hewa' ili waendeleze ufisadi wao. Unaona jinsi walivyomnyamazisha Butiku kuhusiana na maovu mengi aliyoyasema ndani ya chama. Hakupata support yoyote ndani ya chama. Pamoja na madhambi mengi aliyoyafanya Mkapa, Muungwana alisema 'mwacheni mzee wetu astaafu kwa amani' hakuna aliyetoa sauti ndani ya chama. Hata Mkapa alipotaamka 'niacheni nimeshastaafu' hakuna hata aliyeguna ndni ya chama pamoja na madudu yote aliyoyafanya. Kinachonitia imani ni kwamba Watanzania wameanza kuamka hivyo ufisadi, ula rushwa na uroho wa utajiti wa haraka haraka kupitia nyadhifa zao, dawa yako iko jikoni na si muda mrefu watakiona cha moto. Wengi wao wana wasi wasi wa hali juu.

Kwa kweli mimi nimefurahishwa saaana na matokeo haya si kwamba ninampenda sana ZUMA! Lakini nimefurahuishwa na jinsi DEMOKRASIA YA KWELI ILIVYOCHUKUA MKONDO WAKE! DEMOKRASIA (SIMPLY) NI KUWA WENGI WAPE. Hapa kwetu hakuna demokrasia katika serikali na ndani ya chama. Lakini waongo utawasikia wakisema demokrasia iko katika CCM! Huu ni uongo! Somo gani tunapaswa kujifunza ni kuwa watu ndani ya CCM waache uoga wa kumuona mwenyekiti wa chama/rais kama MUNGU MTU!!

(1)YAANI MWENYEKITI WA CHAMA HANA WA KUPAMBANA NAYE! YET UNASEMA DEMOKRASIA AU ULAGHAI!!
(2)YAANI MWENYE KITI WA CHAMA AKITEULIWA HUWA MUNGU WA KUCHAGUA MAJINA 14 KATIKA WANA NEC NA KUWAAMRISHA WANA NEC WENGINE WAYAPIGIE KURA HAYO MAJINA YA MARAFIKI ZAKE ILI WAINGIE KATIKA CENTRAL COMMITTEE!!( HII NI DEMOKRASIA KWELI??) YAANI UWANYIME HAKI YA KUPAMABA NA WEWE KWENYE UENYEKITI KAMA HIYO HAITOSHI UWANYIME HAKI YA KUTUCHAGULIA AU KUCHAGULIWA KUWA WAJUMBE WA KAMATI KUU! GIVE ME A BREAK!!! HUU NI...

WATANZANIA NA WANA CCM MTAJIKOMBOA AU TUTAKUWA NA DEMOKRASIA YA KWELI BAADA YA MIAKA 100 IAJYO.

WATU KAMA AKINA MALECELA, SALIMU, SUMAYE, NANI TENA?? MLIPASWA KUTUONYESHA NJIA KAMA ALIVYOFANYA DR BILAL.

ANZENI SANA, IT IS NOT TOO LATE.

MBEKI AMEACHWA KWA KUWA WATU WA HALI YA CHINI WANAONA HAKUWA KARIBU NAO ALIWASIKILIZA SANA WAWEKEZAJI NA ALIJISHUGHULISHA ZAIDI NA MASUALA YA NJE. JE HAPA KWETU VG SI KAMA HUYO?

TUJIFUNZE NA HII IANZE MWAKA 2012 ILI KAMA MTU ATAJITOKEZA NA KUMSHINDA VG ITAKUWA SUPERB NA VG HATAKUWA NA NAFASI KUBWA YA KUTUWEKEA WATU WAKE ILI WAENDELEE KUTUKAMUA PAMOJA NA BARICK, RICHMOND, DOWANS ZAO!
 
Hongera Zuma kwa ushindi.Kazi iliyo mbele yako bado ni kubwa mno.
Chama cha ANC bado hakijaleta maendeleo kwa wananchi wengi masikini kama ilivyotarajiwa na wengi ukizingatia kuwa South Africa imejaa rasimali luluki.
Hivyo chondechonde na wewe kaza buti msaidie wananchi wenu ambao kwa karne kibao wananyanyasika kwa umasikini katika nchi yao yenye neema tele.

-Wembe
 
Nimuulize tu Tutu swali!

Alisema kuwa Zuma hafai kuwa kiongozi wa ANC on moral qualifications za ule ubakaji! Zuma akajibu yeye Tutu amwombee tu na asimcomdemn- ina maana maombi ya Tutu hakuyasikiliza? Ama kweli Dua la Kuku Halimpati Mwewe!
 
Some time we need to challange demokrasia, Zuma had a lot of scandals prior to this election. I am getting hard to be conviced that is either Zuma the best ANC had, or it is just people tired with Mbeki?
 
Jacob Gedleyihlekisa Zuma Wiwes

An unashamed Zulu traditionalist, he once famously told a television interviewer: "There are plenty of politicians who have mistresses and children that they hide so as to pretend they're monogamous. I prefer to be open. I love my wives and I'm proud of my children."

The wives, former wives and lovers

1. He is still married to his first wife, Sizakele Khumalo, whom he met in 1959. The painfully shy "MaKhumalo" lives at his homestead in Nklanda, KwaZulu-Natal. He has no children with her, but has publicly praised her and she is favourite to be "first lady"

2. The ex Nkosazana Dlamini-Zuma divorced him in 1998. Now Foreign Minister and an Mbeki ally, she has four daughters with Mr Zuma.

3. The late wife Before committing suicide in 2000, Kate Zuma had five children with Mr Zuma

4. The city wife Mantuli Zuma married Mr Zuma five years ago. She has a daughter, 5, and seven-month-old son with him but prefers to keep out of the spotlight.

5. The latest wife Mr Zuma recently paid lobolo (a dowry) to the clan of Thobeka Stacy Mabhija, 35, with whom he has two children. The second is 3 months old. Ms Mabhija, who works at a mobile phone company, is an elegant woman known for her designer outfits

6. The old flame Minah Shongwe, sister of Judge Jeremiah Shongwe, who asked to be recused from Mr Zuma's rape trial because of the liaison. She has a son, Edward, 30, with Mr Zuma

Je Wanasiasa Watz je wako wazi na Mahawara na watoto? Zuma is open about watoto wake na wapenzi alio nao!
 
Ukiona "Uchafu" wa kiongozi umewekwa wazi na wananchi wanamchagua anyways, basi ujue wananchi wameamua kuwa personal accusations, haziwezi kumzuia kuongoza, tena in this World ambayo kila siku tunatafuta viongozi malaika, maana wananchi walishasema kuwa wote tunafanana na Clinton,

Mwacheni Zuma, awafanyie kazi wananchi, jaana nilikuwa ninaangalia kwa mara ya karibu 20 sasa cinema ya "The Battle of Algiers"sasa mwananchi yoyote aliyeshiriki ile vita, au anything like that kama Zuma, I do not care what anaweza kuongoza!
 
As per principles of democracy, I congratulate Mr. JZ for winning top ANC seat by 60%of votes, though I dont expect much out of him. He is just using RSA poor citezens problems to fulfil his desire. Same as JK did.
 
Naomba nikusahihishe: Soma hapa chini: By the way aliyeshindwa umakamu wa Raisi wa ANC alikuwa mkewe, kwa sasa wameachana.

"Mr Zuma has recognised at least 18 children from four “official” wives and several girlfriends. Two children have been born since his acquittal in a notorious rape trial last year".

http://www.timesonline.co.uk/tol/news/world/africa/article3070220.ece
http://www.iol.za.org/index.php?set_id=1&click_id=13&art_id=ct1999070610002266S340917

KIJANA KWELI WA KIUME HUYU,DITO ANAMTAMBUA RIJARI HUYU KTK SIASA NA MAENEO MATAKATIFU.

NINACHOPENDEZWA NA HUYU BWANA NI JINSI ANAVYOWEZA KUISHI MAISHA YAKE KAMA BINADAMU WA KAWAIDA ASIYE NA MAMLAKA; HASUMBULIWI NA MAISHA YAKE BINFSI NDANI YA SIASA ZAIDI HUYU NI MFUNGWA JASIRI.

INANIKUMBUSHA YULE MKWARE WA KIJERUMANI SCHRODER NA REKODI ZAKE KWA AKINA MAMA NA UZAZI WA MPANGO.

WA SAUZI WANAHITAJI RAIS AMBAYE NI MZAZI NA SIYE MGUMBA MBEKI
 
FM hapo nakupata. Unajua wengi tumejaa unafiki. Mtu kama TUTU et al mi naona ni mnafiki wa hali ya juu. Tangu lini morality yake ikawa ndo yard stick ya kupima wengine? why should you impose your values on others? was Zuma not the same person who was pronounced innocent by the COMPETENT COURT? The fact is priorities za wenye nacho ni tofauti na wale wasio nacho. Elites walimtaka Mbeki kwa sababu zao za kimaslahi na kuwaridhisha mabwana wakubwa huko ulaya, lakini mwananchi wa kawaida shida yake apate mkate tuu wala siagi haihitaji!

Na I can assure you wanafiki wote kwa sasa watakaa kimya, kwa sababu hawana pa kuanzia kumnanga Zuma. Huu ubabaishaji utaisha lini? ukiangalia hizo media za magharibi na hata za kwetu hapa Africa, wamekomalia oooh jamaa ali rape mwanamke, ooh sijui ana pending corrupton charges! ooh ana wanawake wengi! s..t Yaani Iam not a big fun of Zuma lakini jamaa kanyanyaswa na against all odds kashinda! This should be a lesson kwa wale wanafiki wote wanaojifanya kupenda democrasia wakati hawako tayari kukubaliana na outcome za hiyo democrasia!

Give a chance to Zuma!! Na hawa watendaji wa serikali wajifunze kufanya kazi yao kwa uadilifu sio kutumiwa na wanasiasa.

Zuma will become President of RSA maana ndo wananchi wameamua awaongoze, hao wanao question credibility yake wana lao jambo!

Zuma, I wish you the very best in your new functions na Mungu akubariki.
 
Natumaini tayari amepitishwa kwenye matanuru yote muhimu (isipokuwa la formal education) na tunaamini ameiva vya kutosha sasa. Huyu jamaa anaonekana anajiamini na kazi wakimkabidhi mikoba.

Somo la msingi zaidi ni yaliyomkuta comrade Mbeki.Kwamba ni fundisho kwa viongozi wanaopuuza expectations za wananchi wa kawaida.

Mwenzao kanyolewa jana tuu, wao waanze kujiandaa kutia maji.
 
Zuma tumwombee asije tu baka mwanamke mwingine- maanake naona huyu jamaa ana mfazaiko- hawezi kujizuia!

Na kama ilivyosemwa, Kiongozi anawakilisha "some key aspects" ya wale wanaomchagua...! kwahiyo kiasi kikubwa cha wa_souz kwa sasa wanafanana na zuma kuliko.. Mbeki..! Tupatieni rate ya ubakaji..wa Nchi ya zuma..!! kujustfy case!!
 
Back
Top Bottom