Sound sortwares

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
Habari zenu wana jamii forums
nimeinstal operating system ya windows xp proffessional but nina tatizo la sauti sababu sina drivers za sauti naomba kwa yeyote mwenye softwares za sauti anitumie kwenye email yangu ya nyangaka28@yahoo.com ili niendelee kusikiliza music kama kawaida PLEASE NAOMBA MSAADA WAKO
 
Huna haja ya kususbiri mail kwenye inbox yako. zkwa nini usidowload mwenyewe.??!!!!!

Tambua Brand na model ya mashine yako. Nenda kwenye official website ya manufacturer( Toshiba.com,acer.com, HP.com, etc) Kuna sehemu ya support and downloads tafuta driver husika. zipakue
AU
Nenda kwenye Computer mamagemnet tambua aina ya harware driver za sauti ( realtek, connexant, etc. Then tembelea wbsite kama CNET search na utazipata.
 
Habari zenu wana jamii forums
nimeinstal operating system ya windows xp proffessional but nina tatizo la sauti sababu sina drivers za sauti naomba kwa yeyote mwenye softwares za sauti anitumie kwenye email yangu ya nyangaka28@yahoo.com ili niendelee kusikiliza music kama kawaida PLEASE NAOMBA MSAADA WAKO

mkuu uitaji kutumiwa drivers downloud mwenyewe tu angalia model yako nenda drivers.com au kwenye website ya manufacture wako au ungetuma deatail za computer yako wakati unasubiria kutumiwa
 
mkuu uitaji kutumiwa drivers downloud mwenyewe tu angalia model yako nenda drivers.com au kwenye website ya manufacture wako au ungetuma deatail za computer yako wakati unasubiria kutumiwa

Huyu jamaa nimemshutukia. Nadhani kuna mtu hapa kwenye jukwaa la teknology anamtafuta sasa anatka amtumie email then kwa kutumia email a trace IP yake Then kutumia IP............
 
...au pia waweza fuata hatua hizi, fungua my computer,then right click,alafu select properties,itakuja page nyingine, then nenda katika device manager,itakapofunguka angalia ktk alama ya spika au utaona tu alama ya kiulizo ktk device ambazo driver zake hazipo sawa au zinamatatizo utakapoiona click then itashuka chini nenda ktk ya chini alafu right click,hapo itakupa option na ktk hizo options moja wapo ni ku update driver za hiyo device,click hapo!!then utachagua search automaticaly,hapo utakua umemaliza kwasababu yenyewe ita jiupdate,hii inaweza kuwa ni hatua ndefu,lakini pia ni rahisi kwasababu haihitaji wewe kujua manufacture wa pc yako,just yenyewe itaupdate automaticaly:smilez::smilez::smilez:
 
co kiivyo kaka nahitaji msaada wa hiyo software thats why nauliza mwenye nayo anitumie ila nimeshaona ushuri mwingine wa kudownload software za sounds
 
Habari zenu wana jamii forums
nimeinstal operating system ya windows xp proffessional but nina tatizo la sauti sababu sina drivers za sauti naomba kwa yeyote mwenye softwares za sauti anitumie kwenye email yangu ya nyangaka28@yahoo.com ili niendelee kusikiliza music kama kawaida PLEASE NAOMBA MSAADA WAKO

Jaribu drivers hizi mbili, zinaweza kukusaidia.

Realtek AC'97 Driver (Windows 98/Me/2000/XP/2003) - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com

SoundMAX Integrated Digital Audio - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com

Conexant High Definition SmartAudio 221 - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom