Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 724
- 295
Wadau,
Ninataka kununua sound proof kwa ajili ya studio nahitaji maelekezo kama kuna mdau humu ndani anauza kitu kama hiyo nitafurahi sana. Wengine wanaita acoustic material, aina yoyote mathalani tukizungumza tukaelewana.
Asanteni. JUst PM.