SOS - Msaada Unahitajika

Chief

Platinum Member
Jun 5, 2006
3,291
2,619
Bandugu!!

Jamani, ghafla tu browsers zangu (Firefox/IE) haziwezi tena kuchukua data kutoka mtandaoni ingawaje connection kwenda ISP ni nzuri tu. Nimejaribu kutumia self diagnostic tool kwenye IE, lakini wapi!!! Nahisi kirusi kimeingia. Naomba msaada!!:(
 
kwa internt explorer nenda tools then internet options kisha reset

halafu sos i jina la kituo cha kulelea watoto yatima pale ubungo watch out
 
Shy.

Ahsante kwa msaada wako. Nitajaribu na kuweka feedback hapa. Kuhusu SOS kufanana na kituo cha watoto, well kuna mji mmoja Japan wala siwezi kuutamka hapa:)
 
Jaribu ku restore pc yako au tumia sybot search and destroy ita fix matatizo ya mozira pamoja na ie.
 
TP.

Gonna give it the treatment like you said today evening, and will come back to you tomorrow. I hope you meant Spybot

Tkx.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom