Sorry We Are Booked: Whitehouse tells Obama

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Sorry, We’re Booked, White House Tells Obamas

December 12, 2008, 1:11 pm
By Helene Cooper

blair.480.jpg

A view of Blair House, which is situated across the street from the White House. The yellow facade marks the main entrance. (Photo: Stephen Crowley/The New York Times)

Updated | 3:12 p.m. CHICAGO—The White House has turned down a request from the family of President-elect Barack Obama to move into Blair House in early January so that his daughters can start school on Jan. 5.

The Obamas were told that Blair House, where incoming presidents usually stay in the five days before Inauguration Day, is booked in early January, a spokesperson to the Obama transition said. “We explored the idea so that the girls could start school on schedule,’ the spokesperson said. “But, there were previously scheduled events and guests that couldn’t be displaced.”

It remained unclear who on Bushes guest list outranked the incoming President.

“It’s not a public schedule,” said Sally McDonough, spokeswoman for First Lady Laura Bush, in refusing to disclose who was staying at Blair House. “It’s not a question of outranking the Obamas. Blair House will be available to them on January 15.”

Ms. McDonough said “there’s nothing more to say other than that it’s not available and won’t be available until January 15.” She added that “you’re trying to make a story out of something that’s not a story.”

A State Department official said he didn’t know of any foreign dignitaries staying at Blair House in early January.

A White House official said that Mr. Bush does not have family or friends from Texas staying at Blair House during the period which the Obamas requested. But Blair House, the official said, has been booked for “receptions and gatherings” by members of the outgoing Bush administration. Those receptions, the official said, “don’t make it suitable for full-time occupancy by the Obamas yet.”

Mr. Obama has been staying in Chicago with his family since the election; the Obamas have decided to send their two daughters, Malia and Sasha, to Sidwell Friends School in Washington.

Obama transition officials said that the family is considering other housing options and are hopeful the girls will not miss the start of school. “The White House has been extremely accommodating to the Obama family needs — and the entire process has been smooth and friendly,” the transition official said.

Sorry, We’re Booked, White House Tells Obamas - The Caucus Blog - NYTimes.com
 
Hii imenisikitisha sana. Kisheria nyumba hiyo inatakiwa iwe available kwa Rais mteule 5 days before inauguration lakini jamaa wanamfanyia uhuni tu Obama lakini naona CNN wamelivalia njuga hili na kama wakiendelea basi jamaa wanaweza kuona aibu na hatimaye iwe available kwa Obama.
 
Ila watoto wa Obama wanaanza shule on the 5th sasa kwa hesabu za haraka haraka ni 15 days before inauguration na ten days kabla ya nyumba kuwa available.lol... nani mwenye kosa? ukisikia utawala wa sheria ndio huu sasa, hapendwi mtu.
Amesharudisha nyumba yake ya useneta?

"It's not a public schedule," said Sally McDonough, spokeswoman for First Lady Laura Bush, in refusing to disclose who was staying at Blair House. "It's not a question of outranking the Obamas. Blair House will be available to them on January 15."

Ms. McDonough said "there's nothing more to say other than that it's not available and won't be available until January 15." She added that "you're trying to make a story out of something that's not a story."
 
Hii imenisikitisha sana. Kisheria nyumba hiyo inatakiwa iwe available kwa Rais mteule 5 days before inauguration lakini jamaa wanamfanyia uhuni tu Obama lakini naona CNN wamelivalia njuga hili na kama wakiendelea basi jamaa wanaweza kuona aibu na hatimaye iwe available kwa Obama.

Wakiulizwa nani ame-book hio Blair House hawataki kusema.Kisha inaonekana
hakuna lolote la maana ila farewell parties za staff members wa George Bush
nd'o zimepangiwa kufanyika hapo.

Hii ni ishu ambayo inatakiwa kua anticipated in every election year ama
labda walidhani McCain atashinda na hana watoto wa kuenda shule?

Imagine eti Obama has to look for alternative housing until the day the
house becomes available....kweli mnyonge hana haki.
 
Last edited:
Wakiulizwa nani ame-book hio Blair House hawataki kusema.Kisha inaonekana
hakuna lolote la maana ila farewell parties za staff members wa George Bush
nd'o zimepangiwa kufanyika hapo.

Hii ni ishu ambayo inatakiwa kua anticipated in every election year ama
labda walidhani McCaina atashinda na hana watoto wa kuenda shule?

Imagine eti Obama has to look for alternative housing until the day the
house becomes available....kweli mnyonge hana haki.
Kwani sheria za kubook hiyo Blair House zinasemaje? maana usikute kila Federal Employee mwenye cheo fulani anaweza kubook.

Lakini mnasahau kuwa kisheria inatakiwa iwe wazi kwa rais anayekuja siku tano kabla ya kuapishwa sasa kosa liko wapi na msemaji ameshasema itakuwa wazi tarehe 15.

Ms. McDonough said “there’s nothing more to say other than that it’s not available and won’t be available until January 15.” She added that “you’re trying to make a story out of something that’s not a story.”

Mambo ya first come first served basis, tuwe reasonable kidogo.

A White House official said that Mr. Bush does not have family or friends from Texas staying at Blair House during the period which the Obamas requested. But Blair House, the official said, has been booked for “receptions and gatherings” by members of the outgoing Bush administration. Those receptions, the official said, “don’t make it suitable for full-time occupancy by the Obamas yet.”

Akina Obama wenyewe hawalalamiki...ila vyombo vya habari vinakuza tu hii kitu

“The White House has been extremely accommodating to the Obama family needs — and the entire process has been smooth and friendly,” the transition official said.
 
Utasikia sasa hivi washua wanashindana kutoa offers, tatizo proprierty itakataza mzee mzima kukubali.
 
Utasikia sasa hivi washua wanashindana kutoa offers, tatizo proprierty itakataza mzee mzima kukubali.

...hio ni very likely lakini kama usemavyo Secret Service wataleta
ishu zao za usalama wa rais.
 
Kwani sheria za kubook hiyo Blair House zinasemaje? maana usikute kila Federal Employee mwenye cheo fulani anaweza kubook.

Lakini mnasahau kuwa kisheria inatakiwa iwe wazi kwa rais anayekuja siku tano kabla ya kuapishwa sasa kosa liko wapi na msemaji ameshasema itakuwa wazi tarehe 15.

Mambo ya first come first served basis, tuwe reasonable kidogo.

Akina Obama wenyewe hawalalamiki...ila vyombo vya habari vinakuza tu hii kitu

...licha ya mambo ya first come first serve basis, priority is given to the
President Elect at this time, in terms of occupancy to that building.

Kisha kumbuka nakala inasema hivi...The White House has turned down a request from the family of President-elect Barack Obama to move into Blair House in early January so that his daughters can start school on Jan. 5....kumaanisha kwamba the Obama's waliomba wawepo hapo in this time for their kids sake na jamaa wakawachomolea.

Meanwhile Obama si mtu wa kupigana vita kama hivi, so he is not going to
say nothing but let the people make their opinion.
 
Hehehehe!!! atapewa ile nyumba ya Marines nishasahau inaitwaje au mtaa.
 
Hehehehe!!! atapewa ile nyumba ya Marines nishasahau inaitwaje au mtaa.

That is to show a rule of law. President elect is supposed to start living at Blair House on the 01/15/09. Early staying at the said house is subject to availability, period.

Tanzania tujifunze kuheshimu utawala wa kisheria. No preference, because no one is above the law.

That is why Mr. President Elect Obama and is team are quiet on this matter and with due respect CNN wants to make news out of it, but their conclusion is wrong! What the heck!
 
jibu apo juu ni bora - Marekani ni nchi ambayo "yasema" hata maraisi wanafuata sheria... ni ukweli unaochekesha tukichunguza vituko vya joji bushi na marafiki zake, ila ni ukweli na umeandikwa katibani (nahisi).

* Obama alimpigia simu 'mbunge' mmoja karibuni, na mama akakata simu mara chache akisema alizani ni simu ya utani. Ivi wangapi tumejiuliza, labda ilikuwa ni sababu ya sauti na matamshi ya nusu mwAfrika? Wazungu viongozi, bado ni wengi wenye tabia za enzi za zamani.

* Ningependa kuona Raisi Obama aendeshe kagari kazuri mtaani incognito ... nahisi haitakuwa mda mrefu kabla hajasimamishwa na mapolisi akiulizwa ka hilo ni gari lake (PROFILING).
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom