Sorry wanawake: Ni udhaifu kubembeleza mtu mke/demu/mchumba

the mkerewe

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
232
14
kwa miaka ya sasa sioni kama kuna haja ya kumbembeleza mwanamke kwa ajili ya mapenzi ili ama awe mkeo/mchuma au gf

Kuna wanawake wengiii mno and fresh love is always tamu sana.Mwanamke ukimsihi mara mbili achana nae zuga siku mbili atarudisha mwenyewe mawasiliano.

usimpige mwanamke dawa yake akijifanya anajua wewe poa alafu mwache aende hukoooo atakako.

Ni aibu kwa leo ukute mwanaume analia kisa mwanamkee kamzingua.
 
Hili jukwaa ni la kwa ajili ya watu waliofikisha miaka 18 na kuendelea! Wewe nenda FACEBOOK!
 
Sometimes guys do. it depends on the guy, and how far the relationship got lots of guys cry n their head because we learn at a young age to simply not cry, if something hurts dont cry. so ya
 
tena watu wa namna yako ndio huongoza kwa kupiga magoti chumbani na kububujikwa na machozi mbele ya mwanamke
 
wewe unamatatizo mengi ndio maana umeamua ukimbilie umasaini, nahisi ungekuwa wangu ningekupiga kibuti ukiwa hata hujaingia chumbani kwangu.
 
Kwa hiyo hao unaowachunia ni kina nani sasa?? Ahhh nimesahau una mtoto?? Mama yake yuko wapi???
kama nilivyosema, alinizingua nikamlipua vibaya kabisa, mtoto yupo kwa shangazi yake jirani kabisa na nyumbani kwangu. Ananililia ila nimempotezea kabisa.
Mimi ndio mwenyewe nataka mapenzi kabambe so i prefer having fresh love kwani hujitahidi ili asinikwaze.
 
Si utamaliza dunia nzima kwa mtindo huu :hand:
hata kidogo wanawake ni wengi mno.Nikiona wanapungua naenda kupanga chumba cha uzushi karibu na hostel ya Vyuo hapo ntagonga mpaka nashindwa kuhudhuria kazini.
Nikuulize kwa mke unapata nini hasa ambacho kwa mafresh love nakosa.Ntajatafuta mzee mwenzangu baadae wakuweka ndani ila kwa sasa niacheni
 
kama nilivyosema, alinizingua nikamlipua vibaya kabisa, mtoto yupo kwa shangazi yake jirani kabisa na nyumbani kwangu. Ananililia ila nimempotezea kabisa.
Mimi ndio mwenyewe nataka mapenzi kabambe so i prefer having fresh love kwani hujitahidi ili asinikwaze.

Aisee kwaheri SIRUDI TENA HUKU
 
hata kidogo wanawake ni wengi mno.Nikiona wanapungua naenda kupanga chumba cha uzushi karibu na hostel ya Vyuo hapo ntagonga mpaka nashindwa kuhudhuria kazini.
Nikuulize kwa mke unapata nini hasa ambacho kwa mafresh love nakosa.Ntajatafuta mzee mwenzangu baadae wakuweka ndani ila kwa sasa niacheni

Kwani umelazimishwa kufanya nini???
Nenda tu kasombe magonjwa huko....usisahau kuweka akiba ya mazishi tu!!!
 
hata kidogo wanawake ni wengi mno.Nikiona wanapungua naenda kupanga chumba cha uzushi karibu na hostel ya Vyuo hapo ntagonga mpaka nashindwa kuhudhuria kazini.
Nikuulize kwa mke unapata nini hasa ambacho kwa mafresh love nakosa.Ntajatafuta mzee mwenzangu baadae wakuweka ndani ila kwa sasa niacheni

niwie radhi kama nitakuudhi......una ULIMBUKENI NA USHAMBA mkubwa sana.....hakuna aliyekushika,endelea.....dunia ya Mungu kanyaga taratibu!!!!:rain:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom