Sorry Mr. President.. Tanzania is NOT IN a "State of Emergency..."

Absolutely it does - in my humble unsolicited opinion - and I believe any legal scholar can easily show that indeed it does.
MMKJ ,
I'm sorry to tell you we have no government so far and if you don't agree you show me where it is. We are in auto pilot mode and does it matter what 'captain' says while in this mode?
BTW, watu wengi hudhani state of emergency ni mpaka Idd Amin aje!
 
Absolutely it does - in my humble unsolicited opinion - and I believe any legal scholar can easily show that indeed it does.

Mzee Mwanakijiji always you have to appreciate that in this country there is total erosion of ethics and codes of conduct governing civil service accross the board. In such environments, you cannot match words given by our rulers into actions. It is until we revive lost ethics and our core values, our rulers will always try to avoid taking responsibilities under any scapegoat available.
 
I was surprised yesterday to hear that the President claimed that the country is in a "state of emergency" or "hali ya dharura". I don't remember when was the state of emergency was declared under constitutional process. As long as there is not a declared "state of emergency" according to Emergency Powers Act of 1986.

The president should not be surprised that his subordinates do not take the energy situation in the country as seriously as they should. If he wants people to take the situation seriously he should issue a SE proclamation and direct individuals and institutions (private and public).


Bila kutangaza hali ya dharura hakuna hali ya dharura. Sorry to point the obvious. Na bahati mbaya hali ya dharura haiwezi kutangazwa sirini!

I stand to be corrected.

Talking to a deaf ear!
 
...mkuu hebu fafanua hiyo kitu, ameisema lini? wapi?, kwa ajili ya nini?

Kikwete: Siioni kasi ya kumaliza tatizo la umeme

Monday, 10 October 2011 20:32
0digg

jk%20muundo.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete amewataka watendaji wa Serikali yake kufanya uamuzi wa haraka kukabiliana na tatizo la umeme nchini akisema haoni kama kuna kasi ya uhakika katika kukabiliana na suala hilo.

Akizungumza katika kikao na watendaji hao alichokiitisha Ikulu, Dar es Salaam jana, Rais Kikwete aliwataka watendaji hao kufanya uamuzi bila ya kuwa na kigugumizi kwa manufaa ya wananchi wakitambua kuwa nchi iko katika hali ya dharura kubwa ya upatikanaji wa nishati hiyo.

"Tuko katika hali ya dharura. Sioni hisia za haraka za kuchukua uamuzi na hatua nyingine muhimu za kukabiliana na dharura ya upatikanaji wa umeme. Hatuwezi kuendeleza kuwa na kigugumizi katika kuchukua uamuzi wa kuitoa nchi katika changamoto kubwa hizi za upatikanaji wa nishati," alisema Rais Kikwete na kuongeza:

"Ubwana mkubwa wa kila mmoja wetu utatambuliwa kutokana na mafanikio ambayo kila mmoja wetu ataonyesha katika kukabiliana na hali hii ya upatikanaji wa nishati."

Rais Kikwete pia amewataka watendaji hao kuelekeza nguvu zao kwa kufanya kazi kwa karibu zaidi na wawekezaji ambao wamethibitisha umakini wao katika uzalishaji umeme.
Alisema hilo ni muhimu kwa kuwa inawezekana Serikali isiwe na uwezo wa kutosha wa kuwekeza fedha za kutosha katika uzalishaji umeme miaka mitano ijayo ili kwenda sambamba na mahitaji makubwa yanayoongezeka nchini.

Kikao hicho cha kazi kilihudhuriwa na Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, Waziri wa Sheria na Katiba Celina Kombani, Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema na maofisa kutoka Wizara ya Nishati na Madini.

Kilihudhuriwa pia na maofisa wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Tume ya Mipango, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).

Kikao hicho pia kilijadili ujenzi wa bomba kubwa zaidi la kusafirisha gesi asilia kutoka Mikoa ya Mtwara na Lindi kwenda Dar es Salaam.

Bomba hilo linakusudiwa kujengwa na Serikali ili kuongeza kasi ya upatikanaji gesi kwa ajili ya matumizi ya kuzalisha umeme na matumizi ya viwandani katika sehemu mbalimbali za nchi badala ya bomba la sasa ambalo ni dogo. Shabaha na mipango ya Serikali ni kuhakikisha kuwa ujenzi wa bomba hilo unakamilika mwakani.

Tangu Novemba mwaka uliopita taifa limekuwa katika mgawo wa umeme kutokana na ukame ulioathiri kina cha maji katika mabwawa yote ya kuzalisha umeme nchini.

source: Mwananchi
 
Labda tatizo ni maneno haya mawili. Urgency na emergency. Dharura na hali ya hatari( tahadhari)?
 
Mimi mpaka sasa sijaelewa Kikwete alikuwa anamaanisha nini kusema hivyo, hivi ni kwenye STATE OF EMERGENCY ipi tupo yaani ina maana Kikwete anatangaza "Hali ya Hatari" kwenye umeme, hivi anajua difference between Hali ya Hatari na Hali ya Dharura
 
Hapa Rais kachapia Kiswahili na ndio confusion yenyewe........nadhani hakufikiria vizuri nini cha kuseam au gazeti lime misquote kauli yake:

“Tuko katika hali ya dharura. Sioni hisia za haraka za kuchukua uamuzi na hatua nyingine muhimu za kukabiliana na dharura ya upatikanaji wa umeme. Hatuwezi kuendeleza kuwa na kigugumizi katika kuchukua uamuzi wa kuitoa nchi katika changamoto kubwa hizi za upatikanaji wa nishati,” alisema Rais Kikwete na kuongeza:

“Ubwana mkubwa wa kila mmoja wetu utatambuliwa kutokana na mafanikio ambayo kila mmoja wetu ataonyesha katika kukabiliana na hali hii ya upatikanaji wa nishati.”
 
Hajui alisemalo wala alitendalo, ni kama vile kachanganyikiwa na bahati mbaya hata uwezo wa kusoma alama za nyakati hana.....kwake yeye maradi kunakucha kunakuchwa. Sidhani hata kama anaelewa hali halisi ya ugumu wa maisha ya watz na ni nani anasababisha ugumu huo........si mbali sana ukombozi utafika kwa watz
 
Kikwete is mistaking all his countrymen for bobooisie. He is the only person who is responsible for the state's unremitting power conundrum yet he keeps repining and kvetching. This reminds me of a famous case in which a husband divorced his uxor for his own inability to perform bed duties.
 
Tatizo kwa Mh. Rais, labda alitumia maneno hayo "hali ya dharura" kama maneno ya kiswahili tu, hakujua kisheria yana tafsiri gani na nafasi yake kama Rais wa nchi kuyatamka hayo hadharani kwenye mazungumzo ya "kawaida" (siyo kwenye Baraza la Taifa la Ulinzi na Usalama).

Lakini pia kushangaa kwa Rais juu ya ugoi goi katika utendaji juu ya tatizo la umeme, hakupaswa kushangaa hiyo jana-tatizo lilikuwepo tangu alipoingia madarakani, ilitakiwa by this time awe ameshajua kilichofanyika so far kinalingana na muda uliotumika yeye akiwa Kamanda? Kutokana na hilo, angeweza ku-adjust speed ya kiutendaji iendane na uharaka unaostahili lakini siyo kusema kuwa kuna ugoigoi. Kusema kuna ugoigoi maana yake na yeye pia ni goigoi katika kusimamia na kufuatilia.
 
Technically the country is in state of ermegency, under the current constitution the President can declare state of ermegency whenever he sees necessary to do so, he might consult parliament but he does not need approval from that body; power crisis is threatening the growth of our GDP, the economy is sluggish because manufacturing sector is near collapse due power outage; I think Mr. President is trying address the situation. Also state of ermegency is wide term depending the nature of the problem; president may chose to work with his surbodinates instead of announcing through the media. So lets hope he is seriously this time.
Chama
Gongo la Mboto DSM.

Chama.. rais hawezi kutangaza hali ya hatari isiyo na kikomo na hawezi kutangaza kama anavyohutubhia ni lazima iwe published kwenye gazeti, anatakiwa aeleze inahusu nini na wapi na itadumu kwa muda gani na asipoweka muda inaexpire automatically ndani ya siku 21 na Bunge lazima lije kuridhia.. na any renewal inahitaji baraka za Bunge.
 
Sipendi kupinga kila kitu, ila napenda kusema ukweli. Niliwahi kuchangia mara mbili katika hotuba yake ya mwezi September. Miongoni mwa mambo yaliyonishangaza sana ni ukimya wake wa muda mrefu sana kuhusu tatizo la umeme. Baada tu ya uchaguzi tatizo la umeme likaongezeka kwa kasi kubwa sana na jambo lisilo la kawaida kwa JK ilikuwa ni kulinyamazia bila hata kuligusia katika kipindi chote karibia mwaka mzima toka lianze kuwakera watanzania.

Tena nikakumbushia jinsi alivyokuwa akilizungumzia mara kwa mara baada ya kuchaguliwa mara ya kwanza 2005. Niligusia pia kukosa kuelewana na maswahiba wake wakubwa waliomweka madarakani ambao walikuwa waki 'fund' chaguzi zote ndani na nje ya CCM.

Mgao huo unahusishwa na tatizo kubwa la ukosefu wa mafuta mazito, pamoja na uzalishaji mdogo wa gesi asilia. Mataifa mengi duniani yanategemea umeme unaotokana na uzalishaji wa majenereta yanayotumia mafuta mazito lakini hayana mgao. Hii inamaanisha kwamba, mafuta yapo sokoni ila Tanesco hawana fedha..!

Mtaji wao umekwenda wapi? Kwa nini ni baada tu ya uchaguzi wa rais na wabunge 2010? Kwa nini kama rais siyo sehemu ya tatizo alikaa kimya? Kwani umeme uko kwenye dharura kiasi hicho? Sijui kwa maeneo mengine lakini kwa mji wa Arusha nafuu ni kubwa sana. Alikuwa anangoja mafuta yanunuliwe ndio aongee? Huo siyo usanii?

Mimi sijui bwana. Watanzani wa leo wote wana akili kupita kiasi.
 
“Tuko katika hali ya dharura na mimi sioni hisia za uharaka wa kuchukua uamuzi na hatua nyingine muhimu za kukabiliana na udharura wa upatikanaji wa umeme na nyenzo nyingi za kuzalisha umeme.

“Hatuwezi kuendeleza kuwa na kigugumizi katika kuchukua maamuzi ya kuitoa nchi katika changamoto kubwa hizi za upatikanaji wa nishati,” Rais Kikwete aliwaambia watendaji hao wa Serikali yake wanaohusiana na sekta ya nishati"

Hayo ndio maneno ya mkuu wa kaya aliyoyatamka ikulu alipokutana na wadau wa umeme, mtu huyu huyu ndiye alimwambia mwandishi wa habari wa BBC huko South Africa baada ya kuulizwa mipango yake ya kumaliza tatizo akajibu kuwa serikali yake haina uwezo wa kutengeneza mvua leo hii ndio anadai haoni hisia za uharaka wa kuchukua uamuzi.

akikua, ataacha..
 
Muda mwingi sana anashinda FB na Twiter sasa huo muda wa kufikiria kabla ya kuongea ataupata wapi? Jana kwene Twiter kila saa amepost kila time kuna post yake sasa huyu Kijana sorry huyu Mzee ataweza kweli mambo haya?
 
The president should not be surprised that his subordinates do not take the energy situation in the country as seriously as they should. If he wants people to take the situation seriously he should issue a SE proclamation and direct individuals and institutions (private and public).


Bila kutangaza hali ya dharura hakuna hali ya dharura. Sorry to point the obvious. Na bahati mbaya hali ya dharura haiwezi kutangazwa sirini!

I stand to be corrected.

Looks like you are commenting on what was reported by press, sikumbuki Rais akitaja hiyo hali ya dharura kwa maana yake halisi kisheria au kikatiba.
As always Mwnakijiji, looking for loopholes!
 
mkabidhini DR. Slaa nchi hii ili tusonge mbele - the only person anaweza kurekebisha utitiri wa matatizo ya watanzania ambayo mengi yametokana na uongozi dhaifu na sera za kulindana.

Hali ya tahadhali kwenye sekta ya umeme at the same time tunatakiwa tulipe wale matapeli 94b na kadri tunavvyozidi kuchelewa pesa zinaongezeka, tutasongaje kwa style hii.
 
Ngeleja abaki hukohuko Brazil aliko na WM Pinda. Umeme umetengemaa sana kuanzia katikati ya wiki iliyopita. Alichoongea jana Rais wetu na baadhi ya watendaji wakuu akiwemo Gavana wa BOT, MD wa TANESCO, AG na wengine ni kigugumizi wanachopata kwenye kufanya maamuzi juu ya suala hili. Alisema kasi haitoshi. Dharura alooiongelea sio hii ya KIKATIBA Mwanakijiji.

"dharura" ni neno lenye maana ya kisheria hasa linapotolewa na Rais. Vinginevyo linapoteza uzito wake. Ndio maana wengine tulimkatalia Lowassa alipodai kuwa aliingilia kati suala la umeme kwa sabbau nchi ilikuwa katika hali ya "dharura". Hii ilikuwa ni 2006. Neno "dharura" linavyotumiwa na hawa wanasiawa wetu halina maana ya "dharura" tena.
 
..I don't think whether the President meaning was on that basis..What i understood was that the President was not happy with the way his subordinates were handling the emergency /stern measures on the power crisis..
May be Mzee Mwanakijiji ,knowingly or unknowingly you have confused on the CRITICAL situation we are now in to the EMERGENCY situation you are referring to..
Kama utaisoma hiyo Ibara inayompa Rais Mamlaka ya Kutangaza hali ya hatari ..sidhani kama hili la Upungufu wa Umeme linaangukia hapo!!!

Ohh! Really??!! Does the president look like someone unhappy??? ACTIONS SPEAKS LOUDER THAN WORDS!!!! Sorry mkubwa.... we need results....
 
Back
Top Bottom