Sophia Simba: Sijawahi shutumu CHADEMA kupata misaada kutoka nje

Huyu si chizi ila mwenzetu inabidi tuangalie Cv zake na kujaribu kufuatilia kwa walimu walomfundisha kama darasani alikuwaje maana ni kilaza.Hao ndo commed wa JK anaowataka
 
Ulete basi huo mkanda!

Mkanda si upo wa TBC? Weka tuone!

..We nawe kupenda kwako kama Kipofu! Umeishaambiwa Mkanda upo, Jua Upo. Unanga'ag'ania weka hapa, We Ni JUDGE JUDY?? Ulipoambiwa kuwa Musa Alitenganisha Bahari ili Waisrael Wapite Uliomba Ushahidi?? Umeishaambiwa Ngoma ikifika Mahakamani Mkanda utaonyeshwa we Umekazania tu kuwa Uwekwe hapa, ILI?? Una haraka gani? We ndio Bi Sophia? Unataka uanze kupanga kabisa namna ya Utetezi?? We ulie tu na Sophia wako. Ngoma ikifika mahakamani Mkanda utatolewa, Not before that. Not to just any Other Zealot pretending to be an upcoming Lawyer!! :eek:hwell:
 
Mabulungati jitahidi uwe mkweli acha unafiki. The truth will set you free. Hivi kule Arusha uchaguzi wa meya ulikuwa halali? Je, maandamano ya 05/01/11 si yalikuwa na kibali halali cha maandishi? Je, waliofyatulia watu risasi za moto si wapo? Mbona wasishtakiwe kwa manslaughter? Je, ni shtaka lipi kubwa? Maandamano bila kibali au manslaughter? Adhabu ya maandamo bila kibali ni faini au jela miezi 3 au 6 wakati manslaughter ni kifungo cha maisha jela. Wewe ni mtanzania? Je, una uchungu na nchi yako? Hali ngumu ya maisha na mfumko wa bei siyo jambo la kukaa kimya. Iwapo umetumwa na mafisadi sema vinginevyo acha porojo.
 
:drum:haka ka mama si nasikia ni kanasheria? hivi si ndo haka kaliko wahimiza akina mama kuwanyima waume zao unyumba kama watashabikia upinzani? si haka kalikovuruga UWT na kwa kuonewa aibu JK akamteua kalikomtema kwa nafasi ya KM UWT kuwa DC?
 
:drum:

si nasikia haka kamama kamesoma sheria? si ndiyo haka kalilomtema Katibu Mkuu UWT Jk akampa UDC? si ndiko haka kaliko wahi kuwahimiza akina mama wawanyime unyumba waume zao kama wangeshabikia upinzani? si ndiko haka kalikovuruga utawala bora na ukawa bora utawala na matokeo yake ji anayumba? mimi sioni gen katika kila analolitamka kwani akili zake ziko kwa ngulelo.
 
..We nawe kupenda kwako kama Kipofu! Umeishaambiwa Mkanda upo, Jua Upo. Unanga'ag'ania weka hapa, We Ni JUDGE JUDY?? Ulipoambiwa kuwa Musa Alitenganisha Bahari ili Waisrael Wapite Uliomba Ushahidi?? Umeishaambiwa Ngoma ikifika Mahakamani Mkanda utaonyeshwa we Umekazania tu kuwa Uwekwe hapa, ILI?? Una haraka gani? We ndio Bi Sophia? Unataka uanze kupanga kabisa namna ya Utetezi?? We ulie tu na Sophia wako. Ngoma ikifika mahakamani Mkanda utatolewa, Not before that. Not to just any Other Zealot pretending to be an upcoming Lawyer!! :eek:hwell:
Judge Judy ndio nani?

Eti "Musa Alitenganisha Bahari ili Waisrael Wapite"!
 
Judge Judy ndio nani?

Eti "Musa Alitenganisha Bahari ili Waisrael Wapite"!

Naomba kurudia: Whoever has the clip ... Just do not put it here. Taso is either Sophia mwenyewe or somebody spying for her. Taso has been following this thread since 09:31 see #16 (09:31); #20 (09:57); #23(10:18); #26 (10:24); #31 (10:42); #33 (10:59); #35 (11:20); #39 (12:05); #50 (02:59pm).
This is a person with an interest. They want to know if it is there so that they can plan their defence.
Wasubiri mahakamani!
 
Kama umemsikia wewe ni witness, sio evidence. Tunataka evidence.

Na iwe video clip, maana mmesema kasemea mbele ya camera.

Na mmesema amesema mara tatu, kwa hiyo mtakuwa na video clip tatu, weka evidence ya video clip moja tu!

It is difficult to comprend your line of thinking to get any convergence in this issue but all you are saying is like blowing wind with a closed pipe
 
hapo umenena kwa herufi kubwa. Nmekupa Big thanx. Huyu atakuwa m2 wake wa krb kbsa. Watajbeba yy na sophia wke. Dis tym ndo watajua kuropoka hovyo kn madhra gn kwa mropokaji.
Naomba kurudia: Whoever has the clip ... Just do not put it here. Taso is either Sophia mwenyewe or somebody spying for her. Taso has been following this thread since 09:31 see #16 (09:31); #20 (09:57); #23(10:18); #26 (10:24); #31 (10:42); #33 (10:59); #35 (11:20); #39 (12:05); #50 (02:59pm).
This is a person with an interest. They want to know if it is there so that they can plan their defence.
Wasubiri mahakamani!
 
Sophia Simba: Sijawahi shutumu CHADEMA kupata misaada kutoka nje

amehahi kushutumu kupitia tbc1 tarehe saba mwezi wa tatu.siku moja kabla yamaadhimisho ya siku ya wanawake duniani. ila haijanishangaza kukanusha kauli yake, coz nahisi ana mapepo yanamsemea

Kwa hiyo kifupi, evidence hakuna!

Haya tuendelee. Next allegation?

ndo viongozi wetu hao...hivi mnisaidie jamani,huyu sophia simba amewahi kufanya kazi saloon?ana sifa zote zinazohitajika kwa mtu kufanya hyo kazi
 
Back
Top Bottom