Sophia Simba: Sigombei ng'o

Hongera mama Simba. Kuupata huo Uenyekiti wa UWT ilikuwa ni shughuli pevu hasa. Jimbo lako la IKULU lina nafasi moja iliowazi sasa. Mwambie JK anikumbuke. Sina hela ya kampeni.
 
sio akili ya kivivu bali ndio siasa zenyewe hizo unatafuta ambapo ni rahisi kupita. anajua angegombea jimboni labda angekosa hana mvuto kwahiyo akatafuta njia ya mkato.
 
-Huyu nae Mropokaji kweli.Hivi nani kamwambia kuwa akijitokeza yeye kuwasapoti basi hao wanawake washashinda ubunge?

-huyu mama kauli zake hazilingani na taaluma yake..unaweza ukafikia hatua hata ya kuwa na wasiwasi na kiwango halali cha elimu yake.Anaongoza chama as if anongoza kikundi cha taarabu?
 
SISIEM ndiyo maana imepoteza mwelekeo, maana wengi wanajiamini kutokana na hao waliowaweka madarakani lakini si uwezo wao wa kufanya kazi. Huyu mama ni mmoja wa sanii, anatumia wanawake wanyonge kuwalaghai na kukusanya fedha zao maskini, lakini siku zake zinahesabiwa - kuna wakati wa kucheka na wakati wa kulia sasa anacheka - but one DAY.....
 
Sijaelewa kabisa, yaani ukiwa na cheo cha CCM unakuwa mbunge automatically kivipi?
Au ni mpaka Raisi ampe kwa "viti maalumu"?
 
-Huyu nae Mropokaji kweli.Hivi nani kamwambia kuwa akijitokeza yeye kuwasapoti basi hao wanawake washashinda ubunge?

-huyu mama kauli zake hazilingani na taaluma yake..unaweza ukafikia hatua hata ya kuwa na wasiwasi na kiwango halali cha elimu yake.Anaongoza chama as if anongoza kikundi cha taarabu?

She is a graduate wa degree ya kichinachina ,Kabla ya kujiuliza juu ya uwezo wake jiulize uwezo wa waliompa ushindi wa kishindo, anasema kila dem akijitokeza atamsaport (hata awe dem mpinzani anapambana na dume la CCM!!), Alwayz huwa moyo wake upo mdomoni badala ya mdomo kuwa moyoni, kishasema kila mwana ccm Fisadi (even Mr. Chekacheka!), mara yule mmasi wake ndo dume la shoka, how du we assess this IRON LEDY, bora cheo chake kingefutwa kama CHAMA CHA MAFATAKI hakina mwenye sifa
 
huyu mama anatakiwa atoe single ya taarab. Sio kuwa mbunge, sijui waziri
JK anawatoaga wapi watu wa namna hii?
 
Sijaelewa kabisa, yaani ukiwa na cheo cha CCM unakuwa mbunge automatically kivipi?
Au ni mpaka Raisi ampe kwa "viti maalumu"?
"Ukiwa Mwenyekiti wa UWT, Makamu, au Katibu automatically ni Mbunge"...!Nimemnukuu!
Hata mimi ni mgeni na utaratibu huu!
 
moz-screenshot-2.png
 
Huyu hawezi kuwa mbunge kwani uelewa wake mdogo, PR ziro, pia hata huo uwenyekiti aliupata kwa mizengwe. Thats why utaona watu makini hapatani naona anajua mipasho tu.
 
-Huyu nae Mropokaji kweli.Hivi nani kamwambia kuwa akijitokeza yeye kuwasapoti basi hao wanawake washashinda ubunge?

-huyu mama kauli zake hazilingani na taaluma yake..unaweza ukafikia hatua hata ya kuwa na wasiwasi na kiwango halali cha elimu yake.Anaongoza chama as if anongoza kikundi cha taarabu?

Ana elimu gani kubwa mtu wangu? sidhani kama ana Udk wa kusomea I mean PhD...
 
Ana elimu gani kubwa mtu wangu? sidhani kama ana Udk wa kusomea I mean PhD...

Yaani unajua katika CCM kuna watu mie huwaga najiuliza walifikaje kuwa viongozi na majibu sipati mmoja wao ni huyu mama na mwenzie Makamba. Saa zengine ni bora mtu kukaa kimya kama wewe hugombei kunahaja gani kutangaza badala kupita na kuropoka kama hivi anajidhalilisha kwa kweli.
 
"piga ua garagaza" yeye ataendelea kuwa mbunge tu
kwaiyo ni mbunge wa kudumu huyu au ila napenda ule ujike dume wake du

Akishatamka Basi ametamka hawezi kupita tena kwenye jimbo lolote, maana amajifunga kwa kinywa chake, au ajaribu aone!!
 
Tatizo si sophia simba; tatizo ni la mfumo unajua tutaendelea kupiga kelele kwamba hawezi kuwa mbunge wakati mpaka sasa yeye ni mbunge; mfumo wa tz wa kumpa mfalme uwezo wa kuteua anaowataka ndio tatizo . tazama kingunge na wengine walioko bungeni wanafanya nini ? tuna wabunge zaidi ya mia 3 lakini wanashindwa kuisimamia serikali ; tatizo ni mfumo mzima kuendelea kumlaumu mama huyu ni chembe tu ya mfumo; siasa za bongo ni ngumu unatuta ameteuliwa kwa kipaji chake tu nje ya siasa; si mnafahamu wakinamama ni wengi wa sanaa; cha msingi ni kumbana mfalme na mfumo na kumuuliza ananufaika nini na mama simba;

hahaaaaaaaaaa siasa ni mchezo mchafu; na wito wangu wanawake wagome kutumiwa katika siasa kwani hivi wanaume wanavyoshindana kuingia bungeni mpaka kutoana roho wao wanaviupenyo vyao; wanawake watambue short cut zina madhara yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom