Ina maana Sofia Simba alipata uwaziri kwa *****?
hivi mwanahalisi huwa iko online
mganyizi naomba utuwekee hiyo habari hapa. huku kwetu magazeti hufika baada ya siku 2.
walahi nataka niisome hiyo habari
Kama ndivyo basi hatutafika mbali, matokeo yake ndio kama hayo tunayo yaona sasa....kwa **** : NDIYO
hivi mwanahalisi huwa iko online
mganyizi naomba utuwekee hiyo habari hapa. huku kwetu magazeti hufika baada ya siku 2.
walahi nataka niisome hiyo habari
Shukrani ndugu.Waweza soma hiyo picha?You need to zoom it kuisoma hiyo habari ya sophy
Ukiisoma nadhani si mbaya. Mwandishi ana maana ya akili iliyoganda na siyo mwili au ngono kilichompa uwaziri. ame-quote neno 'ngono' kutoka kwenye maneno ya waziri. waziri aliitumia kama silaha madhubuti ya wanawake dhidi ya wanaume. mwandishi anadhani ngono ni weak silaha kuliko zote. kwaiyo anahoji that choice kama kweli waziri alitumia akili kulifikia. Ila mweshimiwa waziri ameridhika na 'akili yake hiyo' kwani ndo kilichompa uwaziri na boss wake ajalitilia shaka.Leo nimesoma gazeti la mwanahalisi ukurasa wa 10 kuna makala iliyo andikwa na Mbasha Asenga, yenye kichwa cha habari "Akili ya Sofia haiwezi kuwaza zaidi ya ngono"
Naomba kunukuu mistari kadhaa ya habari hii iliyo ni changanya zaidi.
"Pamoja majukumuvyote haya, Sofia ni mweupe kama ubongo wa kichanga cha leo. Hana lolote katika fikra zake kinachokaribia kumfanya kutambua majukumu yake......."
Naomba kuruka huo mstari maana kuna manono siwezi ya andika hapa.
akaendelea
" Lakini kwa kuwa nafasi za uwaziri zilikwisha kurahisishwa siku nyingi , bado ataendelea kutesa,kwani ana shida gani wakati akili yake imeganda kwenye ngono na hicho ndicho kilimpa uwaziri?"
Ina maana Sofia Simba alipata uwaziri kwa *****?
Mbona naona kuna LIBEL ya wazi kabisa hapo! Sophia aki-sue ana mahela kibao kutoka Mwanahalisi.
hivi mwanahalisi huwa iko online
mganyizi naomba utuwekee hiyo habari hapa. huku kwetu magazeti hufika baada ya siku 2.
walahi nataka niisome hiyo habari
Tatizo siyo website, tatizo ni hiyo habari haipo kwenye website yao.... Inaonekana hawa jamaa ni wavivu sana ku-update site yao.
Waweza soma hiyo picha?You need to zoom it kuisoma hiyo habari ya sophy