Sophia simba live BBC kwenye mjadala jumatano.

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Waziri sophia simba yuko live bbc kwenye mjadala unaozungumzia siku ya wanawake duniani. Tune now bbc idhaa ya kiswahili
 
Anasema wizara ya maendeleo ya jamii inashughulikia waume kwa wake japokua wizara ina kitengo cha kuwahudumia wanawake na watoto. Wizara pia ina benki ya wanawake. Inavyoonekana wanaume wametengwa zaidi kwenye wizara hiyo
 
Si inaitwa Wizara ya jinsia, wanawake na watoto?
Sasa wanaume watatoka wapi hapo?
 
mpuuzi hata kusikiliza bbc leo nimeacha kwa ajili ya huyu mama anayeburudisha viongozi
 
Si inaitwa Wizara ya jinsia, wanawake na watoto?
Sasa wanaume watatoka wapi hapo?

hapo ndipo pana udhaifu wa sera zetu, inatakiwa iwe wizara ya maendeleo ya jamii. jinsia, watoto, wanaume, wanwake wote ni sehemu ya jamii na huwezi kutenga wanaume ukasema unawaletea maendeleo wanawake!
 
Back
Top Bottom