Sophia Simba hajui kiingereza?

Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""

Hakuna mtanzania asiyejua kuwa Sofia Simba ni mweupe wa kila jambo na kwa kiingereza mama yangu hapo ndiyo usiseme. viongozi wa ccm walijua tu ili kuondoa aibu ni bora asipite mbele pale mjengoni kujieleza. vinginevyo, bunge lingerindima kwa kicheko kama siyo masikitiko kwa uchafuzi wa lugha ya watu ambao angeufanya huyo mama.
 
Ooooh!!!!!! Sasa ilikuwaje akapewa uwaziri???

Wadau wanasema alipokuwa waziri wa wajinsia msaidizi wake mkuu alikuwa mama maehemu mamam mbatia,kumbuka alipofariki yule mamam sophia presha ilipanda kwani alijua sasa kazi itamshinda. mzee akampeleka Ikulu akijua kuna vijana watamsaidia
 
Hawa ccm hawako serious kabisa...hajui kiingereza ataenda kutuwakilishaje sadc wakati wanachama wote wa sadc lugha kuu itakuwa kiingereza. Na hata kama kuna vingamuzi vya kutafsiri lugha wakati wa kikao je ...wakati kikao kimekwisha yeye atakuwa anatembea na vitambua sauti masikioni?????????????????????????? Kweli funika kombe mwanaharamu apite
 
Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""

Wana CCM hapo mnajali maslahi ya taifa au sophia akapate posho tu na kununua vidani?
 
Mi nasema shukuruni akuongea angeongea angetoa neno ambalo bunge zima mngehisi amewatukana kumbe ajui maanake ...mmh hizi sheria lazima wazijue mwak huu kama walikuwa wakizichezea nasema mwanasheria kama uliwekwa kwa ajili ya schoolmates sasa utalijua jiji kazi imeanza nimesikitika na upupu ulioanza nao kwa kukiri kosa na kusema akuna mabadiliko

dem n u

Can we now do anything with respect to her appointment? if not, letz give out our recommendations for future use!
 
Naona wengi wanatetea kiswahili, hii ni kweli kiswahili ni lugha ya taifa na wengi wetu ni lugha ya kwanza. Tatizo ni kuwa anakoenda huyo mama wanatumia Ngeli kama only lugha ya mawasiliano, sasa itakuwaje? Nadhani hii ndo hoja. Mwenye cv ya huyu mama aipachike hapa!
 
China, Urusi, Japan wanatumia Kingereza au lugha zao kuendesha serikali?

Si kipindi kile wakati Sophiia anagombea UWT uenyekiti..si JK alisema kuwa ni msomi na achaguliwe???? tuone sasa usomi wake au unafikiri Tanzania tunasoma kwa kimatumbi au??
Lazma ujieleze pale tuone kama kweli anao uwezo si kutuabisha tuuu mbele ya safari....
 
... ili kuondoa aibu ni bora asipite mbele pale mjengoni kujieleza. vinginevyo, bunge lingerindima kwa kicheko kama siyo masikitiko ....
Nadhani wangecheka wale tu wanaokijua kiingereza, kwani wasiokijua wasingeweza kufahamu kama amekosea au amepatia. Yule mbunge wa CCM Sumbawanga mjini naamini haelewi hata kinachoendelea mjengoni.
 
Hii jamani inaonyesha jinsi serekali ya CCM inavyobebana sijui lini tutajikomboa na hawa wana CCM. Cha msingi ni kulimishana vijana wote Tanzania. Kumbuka CCM inawarubuni watu wa vijijini wasiokua na elimu mungu siku moja atawalipa yote kuwatumia wanyonge ambao inawanyima elimu ili iweze kuwatumia kupata kura
 
Naona wengi wanatetea kiswahili, hii ni kweli kiswahili ni lugha ya taifa na wengi wetu ni lugha ya kwanza. Tatizo ni kuwa anakoenda huyo mama wanatumia Ngeli kama only lugha ya mawasiliano, sasa itakuwaje? Nadhani hii ndo hoja. Mwenye cv ya huyu mama aipachike hapa!

Hakuna mkalimani? Maana hata AU Kiswahili kinatumika, wasiojua kiswahili ujumbe si unawafikia kupitia kalimani?
 
Nadhani wangecheka wale tu wanaokijua kiingereza, kwani wasiokijua wasingeweza kufahamu kama amekosea au amepatia. Yule mbunge wa CCM Sumbawanga mjini naamini haelewi hata kinachoendelea mjengoni.

Kwani yule wa Korogwe alielewa kina Ole Medee wakati wa kujieleza walikuwa wanaongea nini?
 
Well said!!

Maelezo yako hayajitoshelezi, Kigezo kwamba alifika Mlimani hakiwezi kumpima mtu kama anajua kuongea Kiingereza vizuri au la. Kumbuka kuna watu ambao hawajawahi kufika hata High School lakini wanaongea hiyo lugha vizuri.

Inawezekana kabisa tatizo la huyo mama kwenye hiyo lugha ni kutokuwa na mazoea ya kuongea au kujisomea makala/vitabu vya Kiingereza mara kwa mara. Hii inachangia sana mtu kukosa confidence ya kujieleza ukihofia kukosea maneno n.k.
 
China, Urusi, Japan wanatumia Kingereza au lugha zao kuendesha serikali?

We nae kumbe mwendawazimu kama hao sisiem, SADC hujui ni nn? Huyu mama Hata Mwanahalisi waliisha sema hawazi zaidi ya ile nanilii (), SADC anahitajika mtu makini ndio yale aliyokuwa anasema Dr Slaa kuhusu akina Yule waziri feki EAST Africa(Kamara)
 
China, Urusi, Japan wanatumia Kingereza au lugha zao kuendesha serikali?

Sasa uliambiwa kuwa hao wachina, warusi na wajapani hawajui kichina, kirusi na kijapani? Kiingereza ni lugha rasmi pia ya kiutendaji so lazma waziri ajue kiingereza kama kiswahili pia. huna sababu za kumtetea-yule madha siye kabisa yule!
 
Majinga majinga kama haya kwa ngono hatariii ......ndo maana wakuu hawamweki mbali
 
Back
Top Bottom