Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""
Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""
Ooooh!!!!!! Sasa ilikuwaje akapewa uwaziri???
China, Urusi, Japan wanatumia Kingereza au lugha zao kuendesha serikali?
china, urusi, japan wanatumia kingereza au lugha zao kuendesha serikali?
nashangaa loh watoto,,lugha yake angekuwa haijui hapo kweli ningeshangaa
JIbu Hili Hapa:China, Urusi, Japan wanatumia Kingereza au lugha zao kuendesha serikali?
china, urusi, japan wanatumia kingereza au lugha zao kuendesha serikali?
nashangaa loh watoto,,lugha yake angekuwa haijui hapo kweli ningeshangaa
JIbu Hili Hapa:
WATANZANIA = hutumia lugha ya Kiingereza katika masomo yote isipokuwa somo la Kiswahili, sasa kama mtu hajui Kiingereza alipataje hiyo fani au shahada?
Warusi - Hutumia Kirusi kusoma
China - Hutumia Kichina Kusoma
Japan - Hutumia KIJapani kusoma
Sasa kama sisi tunasoma kwa lugha ambayo hatuimudu tunapataje shahada zetu? Au ndiyo tunakariri tu na baada ya mtihani ndiyo kwisha. Language is very important in communication.
China, Urusi, Japan wanatumia Kingereza au lugha zao kuendesha serikali?
nashangaa loh watoto,,lugha yake angekuwa haijui hapo kweli ningeshangaa
Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""
Labda ungefafanua zaidi nini maana ya Sophia hajui kiingereza kabisa?
Huyu mama amesoma bachelor of law (LLB) pale mlimani miaka ya 80. Sasa kama hajui kiingereza kabisa angewezaje kumaliza masomo hayo?
Naelewa huyo mama aliingia mlimani kama mature student na alikuwa ana struggle na shule lakini kama alimaliza kwa vyovyote hawezi kushindwa kiingereza cha kujieleza. Kumbuka miaka hiyo faculty ya sheria ilikuwa inachukua wanafunzi wacahcahe wenye uwezo (kama 60 kwa mwaka) na mwanafunzi akichemsha tu, ilikuwa inakuwa ngumu sana kumaliza.
Anaweza asiwe na kiingereza kizuri sana lakini sio cha kushindwa kabisa kujieleza.