Sophia Simba Alia na Wabunge wa Viti Maalum wa CCM

Lilombe

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
242
39
Dalili si nzuri kwa CCM na jumuiya zake mfano Mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba amekaririwa na vyombo vya habari akiwashangaa wabunge wanawake wa viti maalum toka CCM kutotekeleza maazimio waliojiwekea ya kuchangia sh. 100,000/= kila mwezi kuimarisha uchumi wa UWT. Ama kweli CCM imechokwa na wanachama wao, CDM watu wanachangia kwa hiari, wakati CCM kwa maguvu, Je watafika CCM???
 
sio kuchokwa tu yaani kwishinei, wametumia nguvu nyingi kuonga kupata kura sasa hali mbaya kiuchumi na kisiasa.
Nawaona pale vijana kinondoni wakilalamikiana , wengine wameanza kuhuza magari hasa wale waliokopa kufanyia kampaini. CCM msipoondokana na rushwa mtakulana nyinyi kwa nyinyi.
 
Back
Top Bottom