Sophia Simba akejeli kampeni ya TAMWA

Who Sophia Simba?????????? Alaha mama huyu ana ngoma inamchanganya akili sasa anaropoka ropoka tu ana Jipya kwani hivi VVU vikinasa katika brain mtu anakuwa kama Kichaa ana ongea ongea mwenyewe sasa Mh. Muangalie umtoe haraka atakuja kukusema hata wewe ulivyokuwa ukiongea nae na litakuwa Aibu kwa Taifa. Usipoziba ufa ................................
Origional Pastor,

Sidhani kama ulipaswa useme kuwa ana ngoma ndo mana anaropoka ropoka, kwa maana kusema hivo ni kunyanyapaa watu wote wanaoishi na VVU. Tuendelee na mada ya Sofia Simba, ila vitu vingine viko sensitive sana kwa jamii ya watu wengine tunaowapenda!

Ni kama mchangiaji mmoja alisema kuwa, wakati umefika sasa wa kuangalia watu wa kuwachagua kuongoza, especially kwa akina mama kwakuwa SS ameonyesha kushindwa na hajui anachokifanya. SS ni samaki aliyeoza lakini hayupo ndani ya kapu, yupo peke yake, hivyo samaki wengine bado wako fresh kabisa. bado tuna imani na kina mama katika uongozi. Tuna mifano michache mizuri ya viongozi bora akina mama kama Magret Sitta, Dr.Asha Migiro n.k.
 
Her complexion is getting more lighter!!! Chemistry or Physics in action?

Nasikia Tanzania siku hizi hata makalio yanaweza kukuzwa kuwa wowowo.

Huyu mama Simba ni bure kabisa kama tulivyo watanzania wengi; ni reflection yetu wenyewe. Kwa hiyo tusikimbie kivuli chetu.[/QUOTE]

- Ahsante mkuu, hakuna cha kuongeza wala kupunguza.

Respect.

FMEs!
 
Who Sophia Simba?????????? Alaha mama huyu ana ngoma inamchanganya akili sasa anaropoka ropoka tu ana Jipya kwani hivi VVU vikinasa katika brain mtu anakuwa kama Kichaa ana ongea ongea mwenyewe sasa Mh. Muangalie umtoe haraka atakuja kukusema hata wewe ulivyokuwa ukiongea nae na litakuwa Aibu kwa Taifa. Usipoziba ufa ................................

Dah! Mchungaji orijino hii imekaaje?

Of course huyu mama ni kilaza, kama alivyo JK, lakini lugha uliyotumia hapo juu mshikaji...mhhh!
 
Back
Top Bottom