Sophia Simba akejeli kampeni ya TAMWA

Sofia sofia mbona unatuvua nguo wanawake wenzio? Huoni aibu kila siku kuongea pumba hadharani? si ukae kimya tu hakuna atayejua kama wewe mtupu? ona kina migiro na tibaijuka walivyotubeba! NAMKUMBUKA HATA BIBI TITI MOHAMEDI! mmmh lakini wewe ! kweli unaonyesha taswira mpya ya kiongozi mwanamke wa tanzania. Ona umepewa majukumu kubwa kuliko uwezo wako! kwa kweli unatuangusha sana ...nami nahofia madudu unayoyafanya kama hayaathiri taswira ya uongozi ya wanawake nchini ukiwa kama mwenyekiti wa UWT. Yaani wee sofia wee NAJUUUUUUTA KUKUFAHAMU!







NANYI MTAIFAHAMU HIYO KWELI NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU

Mhhh.. Kazi kweli kwei
 
Mnasumbua vichwa kwa mtu ambaye hata wenzake ndani ya CCM wanadhani anafaa awe Mirembe kutibiwa akili!
 
SopjhiaS.jpg
shrek1.jpg


SHREK ------------------------------------- ------SOFIA SIMBA

nuff said
 
mimi nadhani anajivua mwenyewe

Ni kweli kwamba hii ni aibu yake mwenyewe (japo) sidhani kama anai feel na ya aliyemteua. Ila tukubali kuwa wanawake wanapofanya vema huwa tunawasifu na kuwaenzi na lu prove kuwa kumbe wanaweza tofauti na dhana ambayo bado BAADHI ya watu katika jamii wanaamini kuwa wanawake watupu! hawawezi chochote! Tumekuwa na maandamano wakati mwingine ya kuwapongeza wanawake waliotuwakilisha vema katika medali za kimataifa na kitaifa...eg waliochaguliwa nafasi nyeti katika mashirika makubwa, walioongoza mitihani nk. Ukweli ni kwamba hizi sifa ni za mtu binafsi ila tunawapongeza kwa kudhihirisha kile kisichoaminiwa na BAADHI ya watu kuwa wanawake hawawezi. Anapoibuka mtu kama sofia bila shaka kuna aibu tuna shea nae ....je tushee mema tu?Kauli na mwenendo wa Sofia ni aibu yake, ya chama chake, ya wanawake na ya taifa.
 
Huyu mama hata mimi namshangaa. Wafadhili wakitoa fedha kugaramia uchaguzi POA, lakini wakisaidia fedha ili kulinda masilahi ya watoto wetu NONGWA. Yeye ndiye anapaswa kushindwa, kulegea na kusinzia kabisa maana amekosa mwelekeo.
 
Unajua Katavi katika jamii hizi ambazo taswira ya wanawake "haijatulia" haipendezi kutokea mwanamke mwenye nyadhifa nyeti na nyingi katika chama tawala na serikali ambaye HAELEWEKI.
Imagine ukiwa unaedesha gari hapa bongo ...ikitoke umekosea kidogo ( uwe mwanamke au mwanaume) madreva wenzako watakutukama .....weee dada nini,....au weee mama tu! haya maneno si bure wala hayatoki kwa bahati mbaya anayeyatamka na taswira ya dada na mama kichwani! kwa iyo unapata picha jamii inamwonaje mwanamke! sasa anapotokea mtu kama sofia simbaaaaaa! ni hatari sana ......sasa labda rais wa 2015 atakuwa makini sana kuhakikisha katika uteuzi wa wanawake ....na labda katika umakini huo atapunguza hata idadi ya wanawake maanake labda ataogopa TOT katika baraza lake







NANYI MTAIFAHAMU HIYO KWELI NA HIYO KWELI ITAWAWEKA HURU
 
Looks like birds of the same feather... hahahah

SHREK ------------------------------------- ------SOFIA SIMBA
 
Yeye mwenyewe huyu waziri kadanganyika sana kwani hatujui? Awaache watoto wetu wasidanganyike. MABINTI ZETU MSIDANGANYIKE.
 
SS ana walakini huwezi toa neno za aina hiyo ni kama kiuno saizi 10 anavaa(uwaziri na hivyo vyeo vingine) saizi 56,Hivi Boss wake uwa anawasikia au ndo anaangaliaga CNN BBC na kusoma The Economist
 
Who Sophia Simba?????????? Alaha mama huyu ana ngoma inamchanganya akili sasa anaropoka ropoka tu ana Jipya kwani hivi VVU vikinasa katika brain mtu anakuwa kama Kichaa ana ongea ongea mwenyewe sasa Mh. Muangalie umtoe haraka atakuja kukusema hata wewe ulivyokuwa ukiongea nae na litakuwa Aibu kwa Taifa. Usipoziba ufa ................................
 
kusema kweli huyu mama aweza kuwa vampire, mimi huwa sioni cha maana anacho ongea, halafu anamiliki wizara makini sana, sasa sijui huwa anaingoza vipi, au raisi anapoambiwa mambo ya jenda basi yeye anakurupuka na kutafuta ma-x gf tu, make huyu mama ningekuwa mimi kwenye hiyo oval office ningekuwa nimeshamkimbiza zamaaaani sana, make anaongea pumba tu.

Tangazo la tamwa linahusiana vipi na Upinzani, au sasa wamekosa sera ni kuropoka tu
 
Du hiyo ndo inaitwa Kulewa madaraka premium lager alcohol yake ya ulevi ni 100%.Kikwete anakazi kwelikweli na hiyo mizigo yake isiyobebeka loh!
 
Who Sophia Simba?????????? Alaha mama huyu ana ngoma inamchanganya akili sasa anaropoka ropoka tu ana Jipya kwani hivi VVU vikinasa katika brain mtu anakuwa kama Kichaa ana ongea ongea mwenyewe sasa Mh. Muangalie umtoe haraka atakuja kukusema hata wewe ulivyokuwa ukiongea nae na litakuwa Aibu kwa Taifa. Usipoziba ufa ................................

kaka uko sure na ukisemacho, lakini pia mimi naweza kuamini kuwa labda huyu mama anaweza kuwa na matatizo fulani, make kuna kipindi alienda sauzi akaanza kutapika-------?????? au yaweza kuwa dalili, tujaribu kumuuliza Mh JK, kuhusu afya ya X, make ya kwake iko bomba kama alivosema Dr wake
 
Back
Top Bottom