Sophia Mayunga is no more

Kwetunikwetu

JF-Expert Member
Dec 23, 2007
1,535
408
Ni mkereketwa wa CUF alikuwa pale yombo vituka kwa Limboa, amefariki dunia siku ya Ijumaa na kuzikwa Jumamosi kijijini kwao Bagamoyo!

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amina!
 
R.I.P Sophia Mayunga. Poleni wafiwa, ndugu, jamaa na marafiki hasa chama cha CUF kwa kuondokewa na mkereketwa wao.
 
Back
Top Bottom